Wanawake: Unajisikiaje kila ukipata mwanaume anaeleweka, anakuwa tayari ana mtu wake

Ulishatembeza sana papa mama we tulia tu mtafute staafu kama unataka wa peke yako

Au uzae umbadirishe 🤣🤣🤣
 
Baada ya kuishi duniani miaka kadhaa nimegundua mahusiano ni kitu complicated na hakina guarantee,cha msingi ukimpata mtu mkaendana hata kama ametoka kuachika na yupo na kids wewe luka naye.
You never know,na kwa umri wako ukiendelea kuchagua sana,itakula kwako.
 
Tafuta umpendaye then tembea na bit acha kisema et kila mwanaume unayempata ana MTU wake kwani ww Nyani? Kamata mwanaume umpendaye muingize kwenye 18 zako then shikilia ndoa...... Mengine yatajisumbukia acha unyonge mtoto wa kike. Me mwenyewe niliporwa kutoka kwa mtu...... Now nimetulia with 2 kids now na maisha yanasonga
 
Waoaji tupo ila tupo busy na majukumu ya baadae baada ya ndoa.

Kiufupi, kuna mahala tunapenda tufike kabla hatujaingia kwenye ndoa.

Vumilia tu, Mungu atakusaidia. Usiipambanie ndoa, isubirie tu itakujia kwa ustaarabu na muda mzuri tu.
 
duh nilidhani sisi wanaume ndiyo tuna mtihani huo kumbe hadi ninyi?
pole sana, vuta subira wakwako utampata
 
"Kila siku watu wananitongoza nawakataa, mi nakupenda wewe, so utaniona lini" 😀

Hapa kupigwa chini ni sekunde tu
Ndo kama mleta uzi, keshathibitisha kushenyentwa na vijeba 3 kwa muda mrefu, hao kasema ni wale walioonekana wana malengo bado wale wa kula na kupita.
Kwa historia ya namna hii ukiambiwa lazima utoke nduki
 
Kuna umuhimu wa kuwa na jukwaa la wanawake tu, maana hawa wanaume hadi vikao vya kike wanavamia tu.
Mbona li ishu lenyewe linawahusu wanaume? Hao waongo? Alisema kwenye kikao chenu watajuaje ili wabadilike?
Zaidi sana kwa Uzi huu ni lazima atampata tu wa kwake aliyevurugwa kama yeye
Endeleeni kuvunja ukimya Kuna CK mambo yatakuwa sawa "bolti itafunga kwenye nati yake"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…