Wanawake: Unajisikiaje kila ukipata mwanaume anaeleweka, anakuwa tayari ana mtu wake

Tulia usiwe na papara ya kupata mwanaume wala kuingia kwenye mahusiano atakuja wa kukupenda uwe njia kuu wengine wakuwe michepuko kama unavohangaika saivi
Wanawake kwenye mahusiano huwa wana beti yani wanacheza kamari kuna kapata na kupatwa na wanawake wengi wanaliwa. Kwasababu wanaacha chaguo sahii kwa kuchagua shampoo lisilo sahii. Mwanamke ana tabia ya kuchagua chaguo la uongo na kuacha cha Guo la kweli Kwasababu wanafata hisia.
 

Umenigusa kwani story yako imefanana nakweli hata kama umechakachua kidogo
Ungekuwa Muislam ingekuwa rahisi kukusaidia hata kama itakuwa kwa kuwa mke wa pili.

Kwa mtazamo wangu hali inavyokwenda nafikiri itafika mahala Dunia itatambua kuwa, sheria, aliyotunga Mtume/Papa Paul ya kuwakataza Wakristo wasioe wake wengi, alikuwa hajai angalia sawa sawa
Sasa hivi single mother wamejaa, watoto wamitaani wamejaa mijini, hata maambukizo flani flani, ya magonjwa yameongezeka sana ... moja ya sababu inaweza kuwa ni katazo la kuoa wake wengi...
 
Mimi 26
Na tangu Nina 21 nilianza kupata singofaza
Bi Dada utakua una chagua wanaume wenye mafanikio na ukishazoea kutembea na wanaume mfano waume za watu basi kuwapenda vijana itakua ngumu lazima utakua na mzee mume wa mtu kwakificho na kwenye public unakua na kijana ili kuificha jamii.
 
The good ones are already taken
 
Binti unaonekana unasumbuliwa sana na mahusiano.

Kwa threads zako humu ni dhairi unayapenda sana mahusiano ila yenyewe hayakupendi, unateswa sana na mahusiano sababu hujui kuchagua wanaume sahihi wala huna vipaumbele sahihi vya mwanaume unayemuhitaji.
 
Nimemsikia mwingine akisema akipata tu mwanaume anayejielewa atajiozesha, amechoka kuishi peke yake, kujihudumia yeye na mtoto wake, kujitafutia, kujilipia kodi, eti amechoka. Miaka 26 tu binti anakuwa kama anawinda, it's very sad wakuu.
 
Nimemsikia mwingine akisema akipata tu mwanaume anayejielewa atajiozesha, amechoka kuishi peke yake, kujihudumia yeye na mtoto wake, kujitafutia, kujilipia kodi, eti amechoka. Miaka 26 tu binti anakuwa kama anawinda, it's very sad wakuu.
Wacha wale jeuri yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…