Sasa naelewa kwanini wanawake hua wanalia siku ya Harusi. Maana kweli haikua rahisi
Tafuta pesa watakuja wenyewe halafu muombe Munga upate mke mwema usiendekeze migodiKwema humu
Jamani mimi kadogo2 sijui lini nitapata laazizi wa moyo wangu.. kila napogusa pamewahiwaa
Hii hali kwangu imekuwa ikiniumiza sana maana unajikuta unampenda mwanaume kumbe tayari ana wake ambae labda wanapendana ama anampenda na kuachana kwao inakuwa ngumu
Katika umri wangu huu nishapitia mahusiano seriously mara 4 tu Yaani ile mahusiano kweli sizungumzii haya ya Leo mmeongea keshoo kimya
1: Huyu nilianzisha nae mahusiano nikiwa bado chuo nakumbuka kilikuwa kipindi cha uchaguzi mkuu.. yalikuwa ni mahusiano ya long distance alikuwa amenizidi kama miaka 7 hivi kipindi hicho nafikiri alikuwa na 28 mimi nina 21
Ni mahusiano yaliyoenda poa sana nilimpenda Kijana lakini kumbe alikuwa akiishi na mwanamke huko Dar nilikuja kujua baadae sana yaliniumiza kiasi chake lakini kwa kuwa hatukuwa na connection yoyote ya sex niliweza kupona na kupata mahusiano mengine
2: Huyu nae nilikutana nae nikiwa mwaka wa mwisho chuo.. Aisee ni mwanaume ambae tulipendana sana na huyu pekee ndio niliweza kumchomoa kwa mwanamke aliekuwa nae kabla yangu tukafika mbali sana mpk kutoa mahari ila haikuwa bahati yangu Mungu akampenda zaidi
3:Huyu jamani sikutegemea hata kama ningempenda amefanya mpk nimempenda matokeo yake kumbe ana mtu wake seriously daah Roho imeniuma sanaa.. inaonekana wamefika hatua ya mbali sana na mtu wake hivyo hata mimi sitoweza kuwatenganisha sijui kama ameoa ama hajaoa ila najua tu ana mtu na wako hatua kubwa..Nisiwe mnafki huyu namuelewa sana kwasababu ameweza kunifanya nijihisi vizuri mno japo ndio hivyo ila Roho yaumiaaa 😧
4: Huyu ni kichefuchefu jmn Msukuma huyu ni anajisikia mno in short ana mwanamke wake mimi ndio wakuzugia sijui
Jamani hao wote ni single father 🥹🥹
Sasa mimi Hii hali inaniwazisha sana mtu anakwambia yuko single unakaa nae kwenye mahusiano halafu baadae unakuja kugundua yuko na mtu..
Jamani nipeni mbinu na mimi napataje wa kwangu mimi nishachokaa mahusiano ya hivi Leo yuko single kesho unasikia yuko na baby mama wake
Hata umjui tayari ushaamini utampa furahaKama umebakiza hata chembe kidogo tu ya Imani, naomba uniamini naposema kuwa ukinipa nafasi nitakufanya uwe mwanamke mwenye furaha kuliko wanawake wote duniani.
Aina flani wale wanakamia mahusianoAu ni pisi inayofosifosi mambo, ukiwa mtu wa kufosifosi nini unakimbiwa
Mkuu,Nimemsikia mwingine akisema akipata tu mwanaume anayejielewa atajiozesha, amechoka kuishi peke yake, kujihudumia yeye na mtoto wake, kujitafutia, kujilipia kodi, eti amechoka. Miaka 26 tu binti anakuwa kama anawinda, it's very sad wakuu.
Akitafuta sana sana pesa, kajipiga pini.Tafuta pesa watakuja wenyewe halafu muombe Munga upate mke mwema usiendekeze migodi
Wanawake wako wengi sana siyo jambo la ajabu kwanza wako wengi kuliko wanaumeAkitafuta sana sana pesa, kajipiga pini.
Atabadilika jina na kua mshangazi, atatumika kwa sababu ana kipato.
Hakuna mwanaume anapenda kuoa mwanamke aliekuta kamzidi kipato
Simjui yeye, ila najijua mimiHata umjui tayari ushaamini utampa furaha
Hahaha basi anakutana na wasio wakulimaPisi is pisi Mkuu mchagua jembe sio mkulima
Kama ana 26 na kimwonekano anaonekana mkubwa she is not representable means ni rahis kupata MTU ambaye kasettle Ila akamtumia Kama kipozeo .Hahaha basi anakutana na wasio wakulima
Yaah hiyo ni changamoto kwa kina dada wengi, mara nyingi ndo hao wanafatwq na waume za watu. Na hao waume za watu wakiwa na mentality kua wanamsaidia kwasababu pia huenda ni cheap anatoa hata bure ukimuahidi upendo na ndoa.Kama ana 26 na kimwonekano anaonekana mkubwa she is not representable means ni rahis kupata MTU ambaye kasettle Ila akamtumia Kama kipozeo .
Kwakuwa mtaani ninapokaa yupo binti umri wake 20s Ila anaonekana Kama yupo 30s kwahiyo wale age mate wake huwa hawamtongozi na wanamuogopa wakijua either ameolewa au ameshazalishwa .
Ana mwili mkubwa Sana ambao haufanani na age yake.
Hii imemletea changamoto ya kuolewa mpaka sasa .
Nadhani mtoa mada anaweza kuwa ni sampuli Kama hizo .
Na alipokosea ni hapo kwa mwanaume wake wa 2, alipo mpora mwenzake mume. Probably mwenzake kafanye yake jamaa katangulia.Huyu alikosea some place . It’s karma . Don’t try and save her .