Wanawake wa hivi bado wapo vijana oeni, ndoa bila shela yafungwa kanisani na kushangaza waumini wengii

View attachment 3246243

1. Hakuna madeni

2. Hakuna kusumbua watu michango

3. Hakuna kupotezea watu muda kwa vikao vya mara kwa mara
Sitii neno. Yawezekana akawa mke mwema, lakini usijipe uhakika wa 100% hawa viumbe hubadilika ghafla. Mwingine anaamua kukubaliana na hiyo hali kwa sababu anaona bora tu aolewe. Ila akishakuwa ndani ndo atakuja kuachia makucha yake utashangaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…