Wanawake wa hivi bado wapo vijana oeni, ndoa bila shela yafungwa kanisani na kushangaza waumini wengii

Wanawake wa hivi bado wapo vijana oeni, ndoa bila shela yafungwa kanisani na kushangaza waumini wengii

Hiyo ndio ndoto ya kila mwanaume ila hawa wanawake ndio pasua kichwa.
 
Huyu demu ametisha kwakweli, anajijua yeye sio bikra shela jeupe la kazi gani

Unakuta demu ana watoto wawili siku ya ndoa yake eti na yeye anavaa shela jeupe,
Shela jeupe means purity

Nyie mishangazi ya JF mnastahili shela jeupe? au tusiwafatilie 🤔
 
Back
Top Bottom