Wanawake wa hivi bado wapo vijana oeni, ndoa bila shela yafungwa kanisani na kushangaza waumini wengii

Wanawake wa hivi bado wapo vijana oeni, ndoa bila shela yafungwa kanisani na kushangaza waumini wengii

Kijana akipata visenti kidogo tu huyo binti anakua sio type yake tena.
Hata binti akipata mubaba, uyo kijana sio type yake tena. Password ni kila mmoja kujitafutia maisha mwenyewe ili mahusiano ya kimapenzi yawe kwa ajiri ya mapenzi tu sio fursa ya kuhudumiwa au entitlements. Mapenzi yakifika tamati kila mmoja anachukua njia yake.
 
Ndoa za hivyo huwa zinadumu,lakini ndoa za mbwembwe mara misururu ya magari,mara vikolombwezo kibao nyingine huwa hazitoboi hata miezi 3
HONGERA KWAO NAWAKARIBISHA CHAMANI
 
View attachment 3246243

1. Hakuna madeni

2. Hakuna kusumbua watu michango

3. Hakuna kupotezea watu muda kwa vikao vya mara kwa mara
Watakuwa Wasabato labda! Ndilo dhehebu la kikristo halina mambo mengi baada ya uislamu! Pasingekuwa na dini ya uislamu hapa duniani Mimi ningekuwa msabato!.
Hebu Wasabato mliopo humu semeni kwenye harusi zenu suti na shela vinaruhusiwa?
 
Shida tamaduni za watu ndio zimetuathiri. Mda mwingne ata hatujui maana yake. Shera na suti huwa ni vitu vya kuiga tu
 
Back
Top Bottom