Wanawake wa hivi bado wapo vijana oeni, ndoa bila shela yafungwa kanisani na kushangaza waumini wengii

Wanawake wa hivi bado wapo vijana oeni, ndoa bila shela yafungwa kanisani na kushangaza waumini wengii

Mbona wanafanana[emoji28][emoji28]... Anyway, namie mwaka huu itabidi nimtafute Binti mmoja tuifanye ya hivi, tena ya usiku ili tukitoka tu church tukaendelee na fungate then pakikucha fungate inaisha na majukumu mengine yanaendelea kama hakikutokea kitu[emoji23][emoji23][emoji23].

Sema ndoa za hivi achilia mbali watu wenu wa karibu bali kuna muda hata nyie wenyewe mnaweza kujisahau kama mlishafungaga ndoa tayari.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kusahau tena?? Lol
 
Mtu anajua kabisa hana kampan na hana uwezo wa sherehe,anaanza kulazimisha na kupiga sim kila saa kuomba michango.Ndoa sio sherehe ndoa ni watu wawili waliopendana,mkishapendana nendeni kwa viongozi wenu mfunge ndoa.Hizi kero za michango ni mbaya sana.
Ajjira za ma mc zitapotea🤣🤣🤣🤣
 
mtoto wa single mother ana upuuzi mwingi sana wa kurithi uliomfanya mama yake awe single mother
Nadhani kikubwa malezi, wako wengi tu waliolelewa na single mother na wameolewa na kuoa, na wamefanikiwa kwenye maisha kifedha na kwenye ndoa. Sijui nini kimetokea kwenye kizazi hiki?! Single mother wengine wamefiwa sio kama walikuwa vibiriti ngoma.
 
Siku nikiamua kuoa nafanya kama Hawa kama mwanamke hatotaka basi tutaishia hapo hapo...
 
Back
Top Bottom