Wanawake wa hivi bado wapo vijana oeni, ndoa bila shela yafungwa kanisani na kushangaza waumini wengii

Wanawake wa hivi bado wapo vijana oeni, ndoa bila shela yafungwa kanisani na kushangaza waumini wengii

View attachment 3246243

1. Hakuna madeni

2. Hakuna kusumbua watu michango

3. Hakuna kupotezea watu muda kwa vikao vya mara kwa mara
Ila na tupate utambulisho wa kuwa hapo wapi,kunatukio gani,uhalali wake, mratibu nani,na msimamizi ni taasisi ipi,ya kidini ama kisirikali ,mchungaji kahusika ama kahusishwa ama hapo ndiozile za bomani au za mikataba?
 
Nyakati hizi za mwisho watu hawataki kusikia mambo ya Mungu.
 
Hata km ingekuwa unanisema, mimi sihitaji show off km ulivyodhani. Ni kuwa kuna vitu lazima vizingatiwe depend na uhitaji wa wahusika lkn.
Kwani we unapendaje Joline
 
Hata mi nitafanya hivyo sherehe ikizidi sana iwe 10mil
 
Back
Top Bottom