Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazawadiwe aisee, ningepata namba za simu zao natuma zàwadi ukweli kabisa.
Wazo zuri, naamini badala ya michango watu wamepeleka zawadi.Wazawadiwe aisee, ningepata namba za simu zao natuma zàwadi ukweli kabisa.
Sitii neno. Yawezekana akawa mke mwema, lakini usijipe uhakika wa 100% hawa viumbe hubadilika ghafla. Mwingine anaamua kukubaliana na hiyo hali kwa sababu anaona bora tu aolewe. Ila akishakuwa ndani ndo atakuja kuachia makucha yake utashangaaView attachment 3246243
1. Hakuna madeni
2. Hakuna kusumbua watu michango
3. Hakuna kupotezea watu muda kwa vikao vya mara kwa mara
Watadumu sanaView attachment 3246243
1. Hakuna madeni
2. Hakuna kusumbua watu michango
3. Hakuna kupotezea watu muda kwa vikao vya mara kwa mara
Tumewapenda sana Baba alifunga ndoa kama hii .Ndoa inalipa, inaaminika pande zote .Hata mimi nimewapenda sana
Kweli kabisa .Na Baba yangu alifunga ndoa kama hii imedumu sana .kuna dogo alifunga ndoa za mashera na farasi leo mke yupo kwao .inasikitisha sana.Watadumu sana