Wanawake wa hivi bado wapo vijana oeni, ndoa bila shela yafungwa kanisani na kushangaza waumini wengii

Ndoa zinzofungwa dizaini hii pale Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship lililopo Mwenge Dar es Salaam, kwa Askofu Kakobe ni jambo la kawaida sana kwa miaka mingi. Huwa hakuna shela wa suti.
 
View attachment 3246243

1. Hakuna madeni

2. Hakuna kusumbua watu michango

3. Hakuna kupotezea watu muda kwa vikao vya mara kwa mara
Ila na tupate utambulisho wa kuwa hapo wapi,kunatukio gani,uhalali wake, mratibu nani,na msimamizi ni taasisi ipi,ya kidini ama kisirikali ,mchungaji kahusika ama kahusishwa ama hapo ndiozile za bomani au za mikataba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…