Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Hata binti akipata mubaba, uyo kijana sio type yake tena. Password ni kila mmoja kujitafutia maisha mwenyewe ili mahusiano ya kimapenzi yawe kwa ajiri ya mapenzi tu sio fursa ya kuhudumiwa au entitlements. Mapenzi yakifika tamati kila mmoja anachukua njia yake.Kijana akipata visenti kidogo tu huyo binti anakua sio type yake tena.
😀😀😀😀 ilo litakua group la michango ya harusiNimeituma kwenye group Moja la harusi,Admin kani-remove😥
Hata kusainishana mkataba wa ndoa pia ni upuuzi wa watu tu. Sisi waafrika tukishalipa mahari tunachukua mkeShela ni utamafuni wa watu. Tumeiga tu upuuzi mwingi.
Wanataka sherehe ya harusi, hawataki ndoaNyie ndio mnataka show offs, then baada ya mwaka ndoa chali..sikusemi wewe mkuu.
Watakuwa Wasabato labda! Ndilo dhehebu la kikristo halina mambo mengi baada ya uislamu! Pasingekuwa na dini ya uislamu hapa duniani Mimi ningekuwa msabato!.View attachment 3246243
1. Hakuna madeni
2. Hakuna kusumbua watu michango
3. Hakuna kupotezea watu muda kwa vikao vya mara kwa mara
FeminismSijui nini kimetokea kwenye kizazi hiki?!
Mkuu hizi ni ndoa za kizamani za Wazazi wetu. Hizi ndoa zinadumu maana zina nguvu ya familia na ukookuna kijana alifunga ndoa ya namna hiyo juzijuzi tuh
Hata uchumi wao na hali zao sijui zipojeNdoa ya majizo na lulu iliendana na uchumi na hali yao ?
Wana nyuso halisi na furaha ya KWELI KabisaView attachment 3246243
1. Hakuna madeni
2. Hakuna kusumbua watu michango
3. Hakuna kupotezea watu muda kwa vikao vya mara kwa mara
Bwana harusi pia anaenda honeymoon akiwa na nguvu za kutosha...View attachment 3246243
1. Hakuna madeni
2. Hakuna kusumbua watu michango
3. Hakuna kupotezea watu muda kwa vikao vya mara kwa mara
nilimpongeza kwa hilo piaMkuu hizi ni ndoa za kizamani za Wazazi wetu. Hizi ndoa zinadumu maana zina nguvu ya familia na ukoo
kwa hali niliyokuwa nayo wakati naoa slay queen wengi wangenitosaYan ishu sio msafara . Ndoa inafungwa kadiri ya uchumi wako na hali yako ilivyo.
Kumbe umeoa, hongera bhana.kwa hali niliyokuwa nayo wakati naoa slay queen wengi wangenitosa
amna sijaoa bana nilikuwa nakupima imani tuKumbe umeoa, hongera bhana.
Yaani mahari ndio mkataba wenyeweHata kusainishana mkataba wa ndoa pia ni upuuzi wa watu tu. Sisi waafrika tukishalipa mahari tunachukua mke
Mimi sipimiki kirahisi.amna sijaoa bana nilikuwa nakupima imani tu