Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Bazazi kazini

Sent using Jamii Forums mobile app

Bazazi hii ni nomino, wingi wake "Mabazazi".

Bazazi ni mtu atumaiye hila. Ana fanana au ni sawa mtu yule na pwagu, mzandiki, mlaghai, mnafiki, mdanganyifu.

Sasa mimi naingia wapi hapo au una maana nyingine zaidi ya hii niliyo itoa ?

Ahsante.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16] ungeuliza 'kuna wadada wanawafuata wanaume PM kuwatongoza'? Yaani uwe na ujasiri wa kwenda PM halafu ukifika usubiri kutongozwa? Unafunguka tu mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie wadada kwa miongo kadhaa inafahamika kua sie men ndo hua tunawatongoza. Tamaduni za mahali kwingine zinaruhusu mdada kumfungukia mwanaume, ila kibongo bongo wachache wanafanya hivyo.

Hii ya kufunguka sikua nimeifikiria nilidhani unaenda PM kupiga story mbili tatu ili mwanaume ajiongeze mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo "mamb" jamani jamani kuna mtu nimeacha kujibu messages zake.
Inakera Sana mtu anaandika vifupi Hadi unaumwa kichwa kusoma Hadi kumuelewa.

Nikamwambia Naomba unapoandika message andika kwa kirefu tu,huwa sipendelei hivi vifupi lakini hasikii.
Nimeona nikae kimya..siku akiandika vizuri nitamjibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…