Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa inatia Shaka.
Kweli kabisa jamani mtu anajiita breki ya kenge?
Sent using Jamii Forums mobile app
Niache hebu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Historia ya humu inaonyesha mkianza kwa ugomvi mnaishia kua wapenzi...jitahidi kugombana nae mkuu lazima mtakua na mwisho mzuriii
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu sio kwenye "shida" ni kunyooka kwenye "lengo".[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona huwa naanza salamu.
Mara chache nanyooka kwenye shida
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bila shaka hao ni watoto, katika kumbukumbu zangu sikumbuki kama hilo swali la umevaa nini niliwahi kuuliza. Hizi mambo za umekula nini sina muda nazo ukisema siko romantic utajua mwenyewe
Poleni na corona.
Sent using Jamii Forums mobile app
yaani mi naweza nisikujibu milele
Nimecheka kiasi nahurumia mbavu zangu 😁😁😁😁😁😁😁Kuliko kuchat na hawa watu wa 'niambie', 'nipe story',
Bora nitembee peku kwenye miiba.!
Naweza kukujibu sema unaweza hisi nimekupa jibu ambalo hukutegemea. Mfano ukisema "niambie" afu nikakujibu "sina cha kukwambia" au nikajibu "sasa nikwambie nini"
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna wale Ambao Paula Paul anataka wakimfata PM waje straight to the point
asee nyie mfateteni paula tu ila mnaokujaga kwangu huwa siwajibu kabisa,mwanifahamu.
Jitu linakuja no salamu,hulijui,hamjawahi hata kugumiana kwenye thread huko
linaanza kutiririka sijui Ana mtaji wa kiasi kadhaaa,ana taka kufanya A,B,C so nimsaidie
mawazo Hawa raia nawatukanaga kimoyo moyo (fahamuni hilo) na siwajbu wengi sana.
Huwezi nifata mimi straight ukaanza eleza shda zako as if mimi ni mtatuzi wa matatizo yako.
Jitu linakuja linakutext "mambo,Naomba namba yako ya simu" hawa maandazi ninao PM
wengi sana,yani unakurupuka tu kurupu kurupu unaniomba namba,Maana ya PM ni nini?
nimechoka waelimisha huko PM tangu 2020 iiingie wanajibiwa wastaarabu tu na wanaojielewa.
Hata sijuiBazazi hii ni nomino, wingi wake "Mabazazi".
Bazazi ni mtu atumaiye hila. Ana fanana au ni sawa mtu yule na pwagu, mzandiki, mlaghai, mnafiki, mdanganyifu.
Sasa mimi naingia wapi hapo au una maana nyingine zaidi ya hii niliyo itoa ?
Ahsante.
Nyie wadada kwa miongo kadhaa inafahamika kua sie men ndo hua tunawatongoza. Tamaduni za mahali kwingine zinaruhusu mdada kumfungukia mwanaume, ila kibongo bongo wachache wanafanya hivyo.[emoji16][emoji16][emoji16] ungeuliza 'kuna wadada wanawafuata wanaume PM kuwatongoza'? Yaani uwe na ujasiri wa kwenda PM halafu ukifika usubiri kutongozwa? Unafunguka tu mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo "mamb" jamani jamani kuna mtu nimeacha kujibu messages zake.Ndugu yangu secretary POMPEO nina wasi wasi na msg zako huko PM mpk unachuniwa.
Yawezekana unaandika "Mamb","Mmb" badala ya Mambo
Yawezekana unaforce vitu kama kuandika "Mambo mpenzi","Mambo Mrembo",nk wanawake
wanaojielewa ukimuita Mpenzi,Mrembo,mchumba From nowhere hakujui,humjui asee akikujibu
katambike au katoe sadaka ya shukuran,lazima kuna jinsi unakosea ktk hizo salamu zako.
Lol, ridiculous.
Na wewe utanibloki???