Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Kuna kipind PM nyingi za wadada zilikua wazi baasi kila kukicha kukawa na nyuzi za masimango ati vyuma vimekaza wameacha wazi ili kujiuza vizuri na bla bla kibao. Saiv zimefungwa mnalalamika tena daah bora bwana jiwe atusomeshe namba vizuri watanzania kwa kulalamika tunaongoza
 
Wanadai kukereka na ujinga wanao ambiwa na sisi vidume
 
Personal sijalalamika nimetaka kujua sababu za msingi tu za kufunga na sio kingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…