Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Hhaahaaaha duuuhHahah!!
Mimi naogopa mtanisahau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hhaahaaaha duuuhHahah!!
Mimi naogopa mtanisahau
Hahah!! Ndio hivyo rafiki...Hhaahaaaha duuuh
Wanadai kukereka na ujinga wanao ambiwa na sisi vidumeMdada anaefunga Pm hajiamini na inawezekana akawa mwajuma mlango wazi ukibisha hodi tu ndani, sasa ili kukwepa hilo anaona bora afunge tu maana mtu anaejiamini anajua hili yes hili no so hana haja ya kufunga PM. Jf wangetoa kwanza hii kitu wengine kuanza kuanzishiana thread humu kisa mtu unamkubali lakini kafunga PM unaamua kwenda public hatuwezi mnatupa tabu kweli[emoji38] [emoji38] [emoji38] .
Personal sijalalamika nimetaka kujua sababu za msingi tu za kufunga na sio kingineKuna kipind PM nyingi za wadada zilikua wazi baasi kila kukicha kukawa na nyuzi za masimango ati vyuma vimekaza wameacha wazi ili kujiuza vizuri na bla bla kibao. Saiv zimefungwa mnalalamika tena daah bora bwana jiwe atusomeshe namba vizuri watanzania kwa kulalamika tunaongoza
Pm yangu naiona kama mbovu nina miezi 4 sijaona msg humoBasi wewe kama mimi tu mkuu, mambo ya kufata fata watu PM jau
Naww umefunga?!kuna robot wakali sana huvamia hizi PM
Hahah!!...Pm yangu naiona kama mbovu nina miezi 4 sijaona msg humo
Hapana mkuu,Itakuwa kuna comment ya mdada imekugusa mkuu
Nataka nimpange lin anitumie msg nione kama inafanya kazi...wadada hebu jaribuni kunitumia PM jamaniHahah!!...
Inabidi uwaone mods kwa malalamiko mkuu
hapana sijafunga, ilinitoa ushamba, ila huwa sijibu PMsNaww umefunga?!
Wadada tu?Nataka nimpange lin anitumie msg nione kama inafanya kazi...wadada hebu jaribuni kunitumia PM jamani