Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kimantiki amefanya logical fallacy inaitwa "hasty generalization".Not all Bantu Women are bad mkuu, kuna wanawake wengi tu wanaroho nzuri sana na ni watu smart sana legacy na malezi ya familia zilizowakuza sometimes zinawafanya kuwa na tabia za hovyo.
Nitoe mifano kadhaa ya smart and good ladies ambao nawajua kiasi chake hapa JF. Bantu Lady & Leejay49