Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Thanks Jchris14 Jamani, barikiwa sana sana. Merry Christmas 🥂Not all Bantu Women are bad mkuu, kuna wanawake wengi tu wanaroho nzuri sana na ni watu smart sana legacy na malezi ya familia zilizowakuza sometimes zinawafanya kuwa na tabia za hovyo.
Nitoe mifano kadhaa ya smart and good ladies ambao nawajua kiasi chake hapa JF. Bantu Lady & Leejay49