Wanawake wa kiafrika ni wazuri sana ila wana roho mbaya na wana ile njaa ya chakula hatari

Wanawake wa kiafrika ni wazuri sana ila wana roho mbaya na wana ile njaa ya chakula hatari

Huwezi kuwadefine wanawake wote kwa sababu tu mazingira uliyokulia yana wanawake wenye tabia za uchoyo na wivu.
Kila mtu akija kusema anavyowajua wanawake atakuja na hadithi za wanawake aliozungukea naye.
Tunatakiwa tuwaheshimu kwani ni mama zetu, Dada zetu, bibi zetu, shangazi zetu Cha muhimu ni kueakepa wenye tabia mbovu.
 
Ulafi upo jinsia zote kwa hao blacks japo sio wote. Halafu hizo ngozi nyeupe labda kama unaongelea riwaya na huwajui vizuri
 
Wamama walio tuzaa hawapo hivyo,
Tatizo Ni hichi kizazi Cha maigizo

Kila mtu anaonaga wanawake wote wabaya isipokuwa mama yake.

Kila mtu anaona wakwe wote wabaya isipokuwa yeye akiwa mkwe. Shemeji/mawifi wote wabaya isipokuwa yeye.

Kama kasema wabantu wote wabaya mama yake nae yupo kwenye mfumo hakuna exception unless sio mbantu. Kama sio mbantu aachane na mambo ya wabantu hayamuhusu.
 
Uongo Uongo Uongo.
Umekuja kimkakati kwa dada zetu huwapati.
Wanawake wa kibantu wako very submissive, royal na wakaribu mnoo.

Sio hao ukilala naye, room inajaa minywele kama una paka ndani na ni wachoyo wako me centered
 
Back
Top Bottom