Chura
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 1,385
- 2,402
- Thread starter
- #21
Mtaalamu mm plan za ndoa sina kabisa wanawake wangu wote hili hua nawaweka wazi mwanzoniMapenzi mashenzi!!
Mkuu lakini na nyie mlikuwa mnasuburi nini kuoana mkaishi wote? Huenda labda bidada aliona huna mpango akaamua kuanza kujipa raha mwenyewe.