Wanawake wa namna hii huwa wananivutia sana

huu uzi utapata like nyingi za kuupongeza kutoka kwa wanaume wengi bahiri;watoto wengi wanazaliwa na vipara wewe unafikiri huko mbeleni utapata warembo natural;maisha yanabadilika kulingana na wakati ;chakula cha kwenye oven ;dawa za kuzuia mimba kwa mtoto wa darasa la 3 ;bado una ndoto ya kupata warembo natural;tuishi kulingana na mda;ni watu wachache sana wanaoishi kwa inside yao ,wengi wanaiga kile kinachofanywa na wengi.
 
Mkuu mimi nikitakie kila kheri katika kufuata upepo wa muda.
 
Mimi nawapenda wale weusi wenye macho makubwa ya duara. Dah hunikosha sana.
 
Sema type hiii kwenye issue ya familia ni 0
 
safi sema mtandao hadi nipande juu ya mti ndio naingia jf. ndio ukaamua uondoka kimya kimya kisa kukushikisha jembe😉
[emoji23][emoji23][emoji23]hukuona kama kucha yangu ilikatika?
Hata hivyo mimi na jembe hatupatani au umesahau?

Nafurahi kukuona kipenzi
 
Watu wabaopenda kuku wa kienyeji utawaona tu. Shida yao kuwakimbiza mpaka uwapate? na wakiwa na vifaanga walivyo wakali. ila uzuri wake chakula wanafuta wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…