Wanawake wa Pemba na Kanda ya Ziwa wapigwe sindano ya uzazi wa mpango kwa lazima, wanatesa watoto

Mwaka huu mvua sio nzuri mavuno yatakuwa sio mazuri ,hali ya familia ni kumuomba Mungu tu
 
tulia wewe, Tanzania kubwa hii kwani kuna mtoto ukiwa hapo Simiyu ashakuja kukuomba nyonyo.!
 
Moja ya kati ya ujinga utaowaangamiza watanzania wengi ni kufyatua watoto bila mipango... ikifika 2030 watalia na kusaga meno...
 
Moja ya kati ya ujinga utaowaangamiza watanzania wengi ni kufyatua watoto bila mipango... ikifika 2030 watalia na kusaga meno...
Na hizi mvua za kuunga unga we subiri tu
 
Umefika Singida kweli?, huko unaweza ukajiuliza mtu ameanza lini kujamiiana maana huko binti ana miaka 17 ila ana watoto wawili tayari na ni kitu cha kawaida sana. Yaani ukiwana miaka 35 wewe ni babu na wajukuu hata watatu.

Huwanajiuliza sana wanaanza mapenzi na miaka mingapi hadi wajifungue fresh na wabebe tena hata mimba 13 na wapo fresh tu
 
Mama zao wananisumbua sana kutwa kuomba omba hadi mchicha pori
wasaidie bure bro.. umezaliwa umevikuta utaondoka utaviacha... Binafsi najisikia raha sana kuombwa msaada ambao upo ndani ya uwezo wangu.
 
Hii nchi ni kubwa sana, Naunga mkono hoja watu wazaliane kwa fujo na katika wengi tutapata wengi wazuri na mwishowe wataibadilisha Tanzania Yetu.
 
wasaidie bure bro.. umezaliwa umevikuta utaondoka utaviacha... Binafsi najisikia raha sana kuombwa msaada ambao upo ndani ya uwezo wangu.
Ndugu yangu huku kuna ushirikina pia ,sitaki mazoea,watu wanarogea vitu unavyotoa au kupokea,naishi kwa tahadhari sana,tangu nizaliwe nilikuwa sijawahi kuona mtu akiwanga ila huku niliona live saa tisa usiku
 
Tena hakuna anayejifungua kwa operation,hawa wanawake ni noma,nimeona huku miaka 20 ana watoto wawili wakubwa tu
 
N
Aunga hoja
 
Kuna mmoja alitumia dawa za uzazi wa mpango akakondeana, makalio na matiti yakawa flat. Ikabidi atafute makalio na matiti bandia kuweka umbo lake apendeze
kuzuia uzazi sio kitu rahisi

Nahis mungu anataka watu wafyatue tu,maana wanawake wengi wanaotumia uzazi wa mpango wanakosa nuru unakuta wamepauka pauka tu
 
kuzuia uzazi sio kitu rahisi

Nahis mungu anataka watu wafyatue tu,maana wanawake wengi wanaotumia uzazi wa mpango wanakosa nuru unakuta wamepauka pauka tu
Basi wanyonyeshe angalau miaka miwili
 
Mrs Lissu aione kwenye jalada
 
Hakuna cha sheria kutungwa, kila mmoja azae kulingana na uwezo wake aliojaliwa, pamoja na kuweza kuwapa mahitaji.
Halafu kwa mawazo haya mje kuzilaumu serikali zenu kuwa mbona umasikini hauishi!!Jiwe aliwadanganya eti china ina uchumi mkubwa duniani kutokana na idadi kubwa ya raia wake!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…