Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
Vibaya mno 😀😀Kisha pigwa kipapai cha Ikungu Lya bhashahshi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vibaya mno 😀😀Kisha pigwa kipapai cha Ikungu Lya bhashahshi
Shingo ngumu kama nguzo ya umeme.Kukomaza sana shingo mwisho atavunjika
Huenda wenzetu walisha funuliwa kuwa mbingu haipo wanatuficha tu sisiShingo ngumu kama nguzo ya umeme.
RIP KATIBU
Itabidi tuwaulize inakuwaje kuwaje maana mwanaume mwenzenu kajua kukomaa aise.Huenda wenzetu walisha funuliwa kuwa mbingu haipo wanatuficha tu sisi
Hii inaitwa hatari na 2 ⁶⁷/¹²⁵Itabidi tuwaulize inakuwaje kuwaje maana mwanaume mwenzenu kajua kukomaa aise.
Lakini mwisho aa siku mama ndie mwenye kujua baba qa mtoto ni nani
Kwenye TV asilia
SHY TOWN Huko Kumeungua Shoka (Chuma) Ukabaki Mpini (Mti) Yaani Wanawa~Zoom Tu!!!
Kazi Shinyanga Ipo UnaambiwA Maganzo Ukichimba Choo Unapata Dhahabu
Kidumu chama cha mapinduzi....kidumuUkitaka kwenda kuoa Shinyanga nenda na adabu zote, usije jikuta unaambulia maumivu ya moyo.
Hata wasemejeAnko buji unatuharibia soko kwa introvert
Wakiwa Shinyanga?Hii sredi itapendeza sana kama utaweka na picha ya wahusika hapo juu
Hili ni la kufikiria sana. Inabidi uletwe uzi. Refer Wazungu walioleta dini(maovu yao, and they don care anything)Huenda wenzetu walisha funuliwa kuwa mbingu haipo wanatuficha tu sisi
Ila kitabia?🤷Wanawake wa Shinyanga na Singida wanakuwa wazuri kiumbo 😍
Tena ni kidumu cha kuchotea maji shule ya msingiKidumu chama cha mapinduzi....kidumu
Nebda Mbeya kwa wanyakyusa, hautajuta mkuu😜Wapi pana nafuu