Wanawake wa Shinyanga hatari tupu, Kajala, mke wa Masanja na mke wa Haji Manara wote kwao Shinyanga

Wanawake wa Shinyanga hatari tupu, Kajala, mke wa Masanja na mke wa Haji Manara wote kwao Shinyanga

Saivi slogan ni hiii #tafuta pesa usaidie yatima, tafuta pesa ujenge kanisa, tafuta pesa umsaidie mamaako, tafuta pesa kwa ajili yako#

Hao wanawake tumewaachia nyinyi 🤮🤮🤮🤮🤮
 
Back
Top Bottom