Skylar
JF-Expert Member
- Nov 10, 2021
- 2,334
- 5,550
Sema hujanijibu swali, hawa wa shinyanga sasa ni kabila gani?Wanyaturu na wanyantuzu babu yao ni mmoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema hujanijibu swali, hawa wa shinyanga sasa ni kabila gani?Wanyaturu na wanyantuzu babu yao ni mmoja
Kabisa,japo unaweza tuliza kichwa,na akaficha makucha ukaangukia ya kichwaUkitaka kuoa tuliza akili yako, usioe kwa akili za nyege, usioe kisa fulani kaoa, usioe kuonesha watu.. Utakula za uso.
Ukiona zing zong unabwaga manyanga tu, kwani ye ndio kashikilia pumzi yako?Kabisa,japo unaweza tuliza kichwa,na akaficha makucha ukaangukia ya kichwa
Too much trust ... Too much showing feelings[emoji23]Wazee wetu walifanikiwa hapo tu, u-morden utatumaliza vijana.
Mapigo wanajibiwa wanaume wenye effeminate characters tu, Masicular men hatolewi kwenye reli kizembe.Ila kuna kitu kimoja sisi wanaume hatutaki kukubali. Wanachofanya wanawake sasa hivi ni tit for tat. Zamani ilikuwa karibu kila mwanaume mwenye mke alikuwa amejipa certificate ya kuzini nje ya ndoa na mwanamke akatakiwa awe na adabu zote. Ilikuwa ni uhaini kwa mwanamke kuchepuka ila mwanaume ni ruksa. Nyakati zimebadilika. Utandawazi umefanya wanawake wengi wawe wajanja hivyo wanajibu mapigo.
Ukiwaletea ulokole mwingi unakufa siku si zakoNasikia ukitaka "kufuga" zaidi ya mmoja haiwezekani kufanya zoezi hilo kichwa kichwa, ni lazima uanzie kilingeni kwanza kupata baraka.
Inamaana jamaa kufanya hivyo ana uzoefu, sasa imekuwaje, au ndiyo dhana kuwa mikoba ya kilingeni ina expire date zake?
Ni kweli. Kuna jamaa yangu mmoja namfahamu, yeye na mke wake ni kama wako kwenye ''open relationship''. Mke akipa nafasi anachepuka, mume naye akipata chance anajibu mapigo. Wakiishi wote kwa mwezi mmoja, mwezi wa pili wanatengana, baada ya mwezi tena wanarudiana. Ila watoto wanazaa pamoja.Si ndo 50 50....yaan ndoa saivi ni full mashindano.Haeleweki mume ni yupi,mke ni yupi
WanyantuzuNi wasukuma au wanyaturu?
Huku ni kujifunika kichwa kama mbuni ukitegemea huonekani.Mapigo wanajibiwa wanaume wenye effeminate characters tu, Masicular men hatolewi kwenye reli kizembe.
Si unaona! Ushetwani mtupuNi kweli. Kuna jamaa yangu mmoja namfahamu, yeye na mke wake ni kama wako kwenye ''open relationship''. Mke akipa nafasi anachepuka, mume naye akipata chance anajibu mapigo. Wakiishi wote kwa mwezi mmoja, mwezi wa pili wanatengana, baada ya mwezi tena wanarudiana. Ila watoto wanazaa pamoja.
Okay jina linawasadifuWanyantuzu
Sema mke anazalishwaNi kweli. Kuna jamaa yangu mmoja namfahamu, yeye na mke wake ni kama wako kwenye ''open relationship''. Mke akipa nafasi anachepuka, mume naye akipata chance anajibu mapigo. Wakiishi wote kwa mwezi mmoja, mwezi wa pili wanatengana, baada ya mwezi tena wanarudiana. Ila watoto wanazaa pamoja.
Okay jina linawasadifu
Kabisa mwamba,kwanza huwez ukawa ndo MTU wa kwanza kuishi bila mke au mume.Maisha ya ndoa ni furaha,kama aman hakuna ...siyo ndoa hiyoUkiona zing zong unabwaga manyanga tu, kwani ye ndio kashikilia pumzi yako?
AiseeVigagula kichizi, hao ndio wanafuga mafisi ya kichawi
DarWapi pana nafuu
Wenyewe wanasema kazi na dawaAisee
Hatari sanaWenyewe wanasema kazi na dawa