Wanawake wa Shinyanga hatari tupu, Kajala, mke wa Masanja na mke wa Haji Manara wote kwao Shinyanga

Wanawake wa Shinyanga hatari tupu, Kajala, mke wa Masanja na mke wa Haji Manara wote kwao Shinyanga

Ukitaka kuoa tuliza akili yako, usioe kwa akili za nyege, usioe kisa fulani kaoa, usioe kuonesha watu.. Utakula za uso.
Kabisa,japo unaweza tuliza kichwa,na akaficha makucha ukaangukia ya kichwa
 
Ila kuna kitu kimoja sisi wanaume hatutaki kukubali. Wanachofanya wanawake sasa hivi ni tit for tat. Zamani ilikuwa karibu kila mwanaume mwenye mke alikuwa amejipa certificate ya kuzini nje ya ndoa na mwanamke akatakiwa awe na adabu zote. Ilikuwa ni uhaini kwa mwanamke kuchepuka ila mwanaume ni ruksa. Nyakati zimebadilika. Utandawazi umefanya wanawake wengi wawe wajanja hivyo wanajibu mapigo.
Mapigo wanajibiwa wanaume wenye effeminate characters tu, Masicular men hatolewi kwenye reli kizembe.
 
Attachments

  • IMG_20221219_121933.jpg
    IMG_20221219_121933.jpg
    65.7 KB · Views: 7
Nasikia ukitaka "kufuga" zaidi ya mmoja haiwezekani kufanya zoezi hilo kichwa kichwa, ni lazima uanzie kilingeni kwanza kupata baraka.

Inamaana jamaa kufanya hivyo ana uzoefu, sasa imekuwaje, au ndiyo dhana kuwa mikoba ya kilingeni ina expire date zake?
Ukiwaletea ulokole mwingi unakufa siku si zako
 
Si ndo 50 50....yaan ndoa saivi ni full mashindano.Haeleweki mume ni yupi,mke ni yupi
Ni kweli. Kuna jamaa yangu mmoja namfahamu, yeye na mke wake ni kama wako kwenye ''open relationship''. Mke akipa nafasi anachepuka, mume naye akipata chance anajibu mapigo. Wakiishi wote kwa mwezi mmoja, mwezi wa pili wanatengana, baada ya mwezi tena wanarudiana. Ila watoto wanazaa pamoja.
 
Si unaona! Ushetwani mtupu
 
Sema mke anazalishwa
 
Back
Top Bottom