Hongera baba.Sawa. Ila kwa upande wangu haikuwa hivi. Hata leo ukinipa binti wa miaka 20 hatonipa alichonipa mke wangu akiwa na miaka 35. Niliridhika na mwili wake, nikaridhika na IQ yake, nikaridhika na uwezo wake wa kuwa mama na mke. Sasa hivi tushakuwa watu wazima sana na sijuti kufanya yale maamuzi miaka ya nyuma. Nikirudi nyuma, nitamtongoza yeye kwa mara nyingine tuzae tena.
Mie mmoja wao kijana aliyezaliwa 90 hapana na sijawahi, maana mnamambo ya hovyo akili bado hazijakomaa,,nahitaji kuongozwa.Chanzo ni nyie wanawake kutaka wanaume ready made vijana wenzenu hamtaki kabisa
Aya njoo basi kwangu kama unataka kuongozwa....Mie mmoja wao kijana aliyezaliwa 90 hapana na sijawahi, maana mnamambo ya hovyo akili bado hazijakomaa,,nahitaji kuongozwa.
89+
Sent using Jamii Forums mobile app
Usinichekashe mie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aya njoo basi kwangu kama unataka kuongozwa....
5 sio mbali. Mvua za kwanza ndizo za kuoteshea mbegu shambani.Usinichekashe mie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe na hizo akili zako[emoji3064]
Hapana kwakweli,bado sana mie tusitishane bado mitano kufikia hiyo 30 mnayoiongelea
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama bado mitano sii ndio tunaanza kujuana vizuri miaka miwili utakuwa 27 akili imekomaa kuwa mama.Usinichekashe mie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe na hizo akili zako[emoji3064]
Hapana kwakweli,bado sana mie tusitishane bado mitano kufikia hiyo 30 mnayoiongelea
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa5 sio mbali. Mvua za kwanza ndizo za kuoteshea mbegu shambani.
Nijue kwanza wewe unamingapi? Isije ukawa ka last born ketu[emoji41]Sasa kama bado mitano sii ndio tunaanza kujuana vizuri miaka miwili utakuwa 27 akili imekomaa kuwa mama.
Kipindi unamfukuzia alisumbua sana mpaka ukata taama kumuoa ikabidi uchukue mwengine. Muda wakati age ina bamba alikuwa anataka vigezo na masharti ni yupi mwanaume gani ampendaye.
Hivi vitu viwili ndivo baadae umri ukifika miaka 30 kwa wanawake wanatia huruma sana yani anaomba hata umzalishe au hawe nyumba ndogo maana hakuna wa kumsimamia kwenye maisha yake.
Ukienda makanisani wakisema watoke mbele wanaotaka maombi ya kuolewa yaani kundi litakalotoka hapo unaweza kusema msafara wa nyumbu na wote age zishakata.
Umri kuanzia miaka 30 kwenda mbele mbwembwe zinakuwa zimepoa sana zile za usumbufu sijui kila dakika kuomba pesa wanapompata mwanaume ili wasije kumkosa.
Umri kuanzia miaka 30 ukimwambie tuzae yani kama umefungulia mnara wa redio tanzania masafa yote ni wewe tu idadi utakayotaka ili mradi matunzo.
Umri kuanzia 30 kwenda mbele ukimtongoza cha kwanza kuna mawili kumuomba mungu sana utulie au kwenda kukupiga ban hata ya Jf ndogo ili usifurukute.
Yaani wale wote waliokukataa ukikutana nao wanitia huruma.
🤣🤣🤣🤣 Wakati maradona anafunga goli tata dhidi ya england mie nikuwa nimesha acha nyonyoNijue kwanza wewe unamingapi? Isije ukawa ka last born ketu[emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpambe kazini mzee wa kuchochea [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji848]!Tayari
Umeshagonga 30[emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Usije nimezesha shahawa bure[emoji41][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wakati maradona anafunga goli tata dhidi ya england mie nikuwa nimesha acha nyonyo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Tutalishana bwana....acha utani zile zinaongeza jzuri kwa mwanamke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Usije nimezesha shahawa bure[emoji41]
Akili zako naziogopa kweli[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo kwenye kesi ya ndoa sikiliza tu hadi mwisho. Waulize kwan mnatakaje. Jibu lao ndo hilo hilo unakazia. Hata wakisema tumeamua tujiue tumeshikana,.. pitisha!Kwa wanawake mara nyingi mnakutana na watu sahihi ila lile jicho la kumuona huyu ni mume sahihi hamna. Mara nyingi mnadondokea kwa maf*ck boy au kwenye mtego wa fedha.
Ukiwa na binti yako au dada yako omba sana Mungu akutane na mtu sahihi. Mimi kuna mama yangu mdogo 50+ anajuta,kuna daktari mmoja alikuwa anataka kumuoa alinionyeshea, mzee mwenyewe anakaribia kustaafu alimkataa akaenda kwa baba yangu ambaye ana msumbua na kumvuruga kila siku, vikao havihishi kama vya bunge.
Huyo baba yangu mdogo mwenyewe anayeishi nae, alimpenda sababu msafi, anajua kuvaa na ukimwona, katia pank, muda wote kachomekea mtaji maneno. Alimzalisha akamwacha, akaenda kuoa kwengine huko napo akamwacha huyo mke, akarudi kwa mamdogo kaomba msamaha, mamdogo kamsamehe,mjomba alimaindi ila ndio hivyo atafanyaje na dada yake kishapenda.
Tatizo kiafrika kuoa/olewa kunahesabika kama "mafanikio" katika maisha. Hata uwe na hela vipi, kama hujaoa/olewa bado watu watakuangalia kama mtu ulie feli maisha..! Unaonekana mhuni tu..
Akili zako naziogopa sana[emoji3064][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tutalishana bwana....acha utani zile zinaongeza jzuri kwa mwanamke
Huu ushauri niliwahi kuufuata ila nimekuja kungudua bora nionekane mbaya lakini cha msingi nitoe ukweli na ushauri sahihiNdo kwenye kesi ya ndoa sikiliza tu hadi mwisho. Waulize kwan mnatakaje. Jibu lao ndo hilo hilo unakazia. Hata wakisema tumeamua tujiue tumeshikana,.. pitisha!
Watu wanaingilia kes za mapenz kama za mashamba mwisho huonekana wabaya. Mambo ya kihisia ni ya ovyo sana!
Ah miaka thrity hiyo mbususu sii walishaipiga mpka imelegeaAkili zako naziogopa sana[emoji3064]
Nikifika 30 nitakutafuta tuyajenge[emoji2440]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sipigiki katu hutojutiaAh miaka thrity hiyo mbususu sii walishaipiga mpka imelegea