Wanawake wakifikia miaka 30 kwenda mbele unaweza kuwahurumia, sema ndiyo hivyo una familia

Wanawake wakifikia miaka 30 kwenda mbele unaweza kuwahurumia, sema ndiyo hivyo una familia

Sawa. Ila kwa upande wangu haikuwa hivi. Hata leo ukinipa binti wa miaka 20 hatonipa alichonipa mke wangu akiwa na miaka 35. Niliridhika na mwili wake, nikaridhika na IQ yake, nikaridhika na uwezo wake wa kuwa mama na mke. Sasa hivi tushakuwa watu wazima sana na sijuti kufanya yale maamuzi miaka ya nyuma. Nikirudi nyuma, nitamtongoza yeye kwa mara nyingine tuzae tena.
Hongera baba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ety msafara wa nyumbu haaahaaa
Kipindi unamfukuzia alisumbua sana mpaka ukata taama kumuoa ikabidi uchukue mwengine. Muda wakati age ina bamba alikuwa anataka vigezo na masharti ni yupi mwanaume gani ampendaye.

Hivi vitu viwili ndivo baadae umri ukifika miaka 30 kwa wanawake wanatia huruma sana yani anaomba hata umzalishe au hawe nyumba ndogo maana hakuna wa kumsimamia kwenye maisha yake.

Ukienda makanisani wakisema watoke mbele wanaotaka maombi ya kuolewa yaani kundi litakalotoka hapo unaweza kusema msafara wa nyumbu na wote age zishakata.

Umri kuanzia miaka 30 kwenda mbele mbwembwe zinakuwa zimepoa sana zile za usumbufu sijui kila dakika kuomba pesa wanapompata mwanaume ili wasije kumkosa.

Umri kuanzia miaka 30 ukimwambie tuzae yani kama umefungulia mnara wa redio tanzania masafa yote ni wewe tu idadi utakayotaka ili mradi matunzo.

Umri kuanzia 30 kwenda mbele ukimtongoza cha kwanza kuna mawili kumuomba mungu sana utulie au kwenda kukupiga ban hata ya Jf ndogo ili usifurukute.

Yaani wale wote waliokukataa ukikutana nao wanitia huruma.
 
Kwa wanawake mara nyingi mnakutana na watu sahihi ila lile jicho la kumuona huyu ni mume sahihi hamna. Mara nyingi mnadondokea kwa maf*ck boy au kwenye mtego wa fedha.

Ukiwa na binti yako au dada yako omba sana Mungu akutane na mtu sahihi. Mimi kuna mama yangu mdogo 50+ anajuta,kuna daktari mmoja alikuwa anataka kumuoa alinionyeshea, mzee mwenyewe anakaribia kustaafu alimkataa akaenda kwa baba yangu ambaye ana msumbua na kumvuruga kila siku, vikao havihishi kama vya bunge.

Huyo baba yangu mdogo mwenyewe anayeishi nae, alimpenda sababu msafi, anajua kuvaa na ukimwona, katia pank, muda wote kachomekea mtaji maneno. Alimzalisha akamwacha, akaenda kuoa kwengine huko napo akamwacha huyo mke, akarudi kwa mamdogo kaomba msamaha, mamdogo kamsamehe,mjomba alimaindi ila ndio hivyo atafanyaje na dada yake kishapenda.
Ndo kwenye kesi ya ndoa sikiliza tu hadi mwisho. Waulize kwan mnatakaje. Jibu lao ndo hilo hilo unakazia. Hata wakisema tumeamua tujiue tumeshikana,.. pitisha!
Watu wanaingilia kes za mapenz kama za mashamba mwisho huonekana wabaya. Mambo ya kihisia ni ya ovyo sana!
 
Sio Africa tu hili ni suala liko almost kila sehemu kwa sababu uwe mwanamke au mwanamme huwezi wewe kuwa unazurura tu huna mke wa mme unatembea barabarani au ndugu zako au rafiki zako unakutana nao wana wenza wao na wana watoto zao kwanini usitamani na au kuumia na wewe. Haijalishi unapesa kiasi gani kama huna family ni bure, yale maneno ya kujifariji kwani lazima kuowa au kuolewa? sio lazima ndio lakini ni jambo linakupa faraja ndio maana siku yako ya harusi inakuwa ya furaha ni special day
Tatizo kiafrika kuoa/olewa kunahesabika kama "mafanikio" katika maisha. Hata uwe na hela vipi, kama hujaoa/olewa bado watu watakuangalia kama mtu ulie feli maisha..! Unaonekana mhuni tu..
 
Ndo kwenye kesi ya ndoa sikiliza tu hadi mwisho. Waulize kwan mnatakaje. Jibu lao ndo hilo hilo unakazia. Hata wakisema tumeamua tujiue tumeshikana,.. pitisha!
Watu wanaingilia kes za mapenz kama za mashamba mwisho huonekana wabaya. Mambo ya kihisia ni ya ovyo sana!
Huu ushauri niliwahi kuufuata ila nimekuja kungudua bora nionekane mbaya lakini cha msingi nitoe ukweli na ushauri sahihi
Nilichokuja kugundua ni kwamba mwisho wa yote kwa muwa yule ni ndugu yako mabaya yatakayo tokea kwenye uhusiano wao yatanigusa. Sasa mie hizo stress sitaki. Bora stress ya kuonekana mbaya lakini nimewapa ukweli wa mambo.
 
Back
Top Bottom