mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 23,965
- 131,949
Hongera baba.Sawa. Ila kwa upande wangu haikuwa hivi. Hata leo ukinipa binti wa miaka 20 hatonipa alichonipa mke wangu akiwa na miaka 35. Niliridhika na mwili wake, nikaridhika na IQ yake, nikaridhika na uwezo wake wa kuwa mama na mke. Sasa hivi tushakuwa watu wazima sana na sijuti kufanya yale maamuzi miaka ya nyuma. Nikirudi nyuma, nitamtongoza yeye kwa mara nyingine tuzae tena.
Sent using Jamii Forums mobile app