Wanawake Wana Akili Kuliko Wanaume? Hata kwenye Siasa na Uongozi, Wanawake Wameonyesha Uwezo Kuliko Wanaume

Tuishi nao kwa akili sababu nao ni werevu. Rejea habari ya Delila na Samson, Suleman na malkia Esther kuwaokoa waisraeli, hao wachache kwa rejea.
 
Wanabodi,
Huku nikiisubiri kesho kwa hamu kushuhudia akili za wanawake kwenye kilele siku ya wanawake duniani hapo Machi 8, huku nikitafakari mwelekeo na mustakabali wa siasa zetu za hapa nyumbani Tanzania...
Kweli kabisa nilikuwa najiuliza ilikuwaje Magufuli akashindwa kuona kwamba hakuna haja ya kutumia nguvu na ubabe kuumiza na kuua watu wakati ilitakiwa akili ndogo tu kuendesha nchi kama anavyofanya mama.
 
 
Ushauri wa bure...

Nunua miwani ndugu maana hakuna sehemu nimeandika neno "akili"....
Neno "Akili" hujaandika lakini mtoa mada Amesema "Wanawake wana akili kuliko Wanaume" na wewe ukasapoti kisomi ndiyo maana kwa kutumia hoja ile ile ya mtoa mada baada ya wewe kupigilia msumari nikasema,"Ina maana wanaume hawana akili".
 
Neno "Akili" hujaandika lakini mtoa mada Amesema "Wanawake wana akili kuliko Wanaume" na wewe ukasapoti kisomi ndiyo maana kwa kutumia hoja ile ile ya mtoa mada baada ya wewe kupigilia msumari nikasema,"Ina maana wanaume hawana akili".
Wapi nimeandika kuwa nimem-support.....??
 
Samia ameweza kuachieve vitu ambavyo ngosha mwenzangu alitumia nguvu kubwa sana Na hakufanikiwa.
Naunga mkono hoja, Rais Samia amethibitisha kuna vitu wanawake wanaweza kufanya vizuri kushinda hata wanaume!.
Big up sana kwa huyu Mama!.
P
 
Mkuu Mazigazi , karibu pande hizi uone uwezo wa hao unaowaita pambo tuu!.
P
 
Mzee wangu siku hizi unapambania kombe gani sijui maana hueleweki kabisaa...husomeki someki hata
Ndugu P,atakuambia hata covid-19 ni akili kubwa ndio maana hivyo 😂
 

Hii ni zawadi yangu kwa Birthday ya Mama leo, nilipanga kumpa wiki ya mwisho ya October 2025,

Ili zawadi hii iwe na manufaa kwake, nikisubiri mpaka hiyo 2025, it might be a bit too little too late, kuna ubaya hiyo zawadi, kutolewa mapema mwaka huu ili iweze kutumika mwaka kesho?.

Zawadi yenyewe ni Salaam tuu za Birthday zenye ki parcel fulani!

HBD Mhe. Rais Samia kwa kutimiza miaka 64!, nakupongeza sana na kukuombea afya njema!.

Mwakani 2025 utakuwa unatimiza umri wa miaka 65 na 2030 utakuwa na umri wa miaka 70, hivyo zawadi yangu ya pekee kwako ni HII na kukusisitizia, sio lazima kuizingatia saana kivile, ila ni muhimu kuisikiliza na kujisikilizia kama na wewe pia uliambiwa kama nilivyoambiwa mimi, kwasababu yule YEYE, sometimes ana tabia na mtindo wa kuwaambia watu wake, kupitia kwa watu wengine!, hivyo just listen and try to make sense of this, a think about it, if makes any sense to you, ikitokea it doesn't make any sense to you, then dismiss it as just another set of crap!.

Ila ikitokea na wewe pia uliambiwa, but you are not very sure kama ni YEYE au ni yeye, then don't take a chance!, usipuuze!, maana hicho kitu chenyewe, is nothing compared!.

If this being the case, then tunakuomba sana sana sana, ututekelezee haya mambo tunayokulilia nayo tangu umeingia kwenye usukani, tekeleza tuu yale yaliyomo ndani ya uwezo wako, maana kusubiria post 2025, it might be too little too late!. Please Mama!.

Na ikitokea wewe hujaambiwa mpaka 2025 inaingia na hujawahi kuambiwa na mtu mwingine yeyote, then ipuuze HII itakuwa sio sauti yake YEYE bali itakuwa ni sauti ya yeye tuu ambaye sio YEYE!.

Hivyo endelea na ule mpango wako wa 2025!, na Watanzania wanaolitakia mema taifa letu hili, wote tutakuwa Tuko nyuma yako,
Tuko pamoja nawe,
Tuko nawe!.

Mungu Akubariki Sana!.
HBD Mamaa!.
Paskali
 

Totally wrong :

Generally Mwanamke ana akili ndogo kulinganisha na mwanaume, na hii ni kwa viumbe karibu vyote. Hiki kitu ni scientific na Kwa wale waliopita advance tafuta kitabu maarufu kinaitwa BS kuna topic ya the brain imeelezea vizuri hiki kitu .

Ukirudi kwenye uhalisia wa kila siku hata ukiangalia watu walioibadilisha hii dunia iwe science , gunduzi mbalimbali, siasa, vita, utawala, biashara utakuta wanaume wengi sana yan wanawake ni wa kuokoteza.
 
Wanawake wana akili kushinda wanaume!.
Mimi Paskali wa Jeiefu, ninawatakia wanawake wote maandalizi mema ya siku yao ya wanawake duniani hapo kesho.
Paskali
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…