Dr Justice
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 797
- 855
Tuishi nao kwa akili sababu nao ni werevu. Rejea habari ya Delila na Samson, Suleman na malkia Esther kuwaokoa waisraeli, hao wachache kwa rejea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well saidKe wana akili sana kuliko Me ISIPOKUWA Me huwa tunawazidi UPEO, ndiyomaana huwa tuko makini sana kimaamuzi kwa kutumia AKILI (ubongo) badala ya HISIA (moyo) kama vile furaha, huzuni na hasira.
We nawe umeandika upimbi. Umetafsiri vibayaBaada ya kudanganywa pale Eden alipewa mamlaka ya kupindua meza yaani "kumponda kichwa" nyoka kwa kisigino tu.
Unalijua hilo? Kama hulijui lijue sasa usimdharau mwanamke kisa wewe una kende [emoji16]
Aliyeshawishiwa si ni Adam au?Mbaya ni kwambaaa, alidanganywa yeye akawa na akili ya kukushawishi ukaingia kingi. Nani mkali???????
Kweli kabisa nilikuwa najiuliza ilikuwaje Magufuli akashindwa kuona kwamba hakuna haja ya kutumia nguvu na ubabe kuumiza na kuua watu wakati ilitakiwa akili ndogo tu kuendesha nchi kama anavyofanya mama.Wanabodi,
Huku nikiisubiri kesho kwa hamu kushuhudia akili za wanawake kwenye kilele siku ya wanawake duniani hapo Machi 8, huku nikitafakari mwelekeo na mustakabali wa siasa zetu za hapa nyumbani Tanzania...
Kwa hiyo wanaume hamna akili?Kisaikolojia
Wanauvumilivu sana...
Kibaiolojia
Wana ubongo mkubwa ndiyo
Proved...
Ushauri wa bure...Kwa hiyo wanaume hamna akili?
Neno "Akili" hujaandika lakini mtoa mada Amesema "Wanawake wana akili kuliko Wanaume" na wewe ukasapoti kisomi ndiyo maana kwa kutumia hoja ile ile ya mtoa mada baada ya wewe kupigilia msumari nikasema,"Ina maana wanaume hawana akili".Ushauri wa bure...
Nunua miwani ndugu maana hakuna sehemu nimeandika neno "akili"....
Wapi nimeandika kuwa nimem-support.....??Neno "Akili" hujaandika lakini mtoa mada Amesema "Wanawake wana akili kuliko Wanaume" na wewe ukasapoti kisomi ndiyo maana kwa kutumia hoja ile ile ya mtoa mada baada ya wewe kupigilia msumari nikasema,"Ina maana wanaume hawana akili".
--Kisaikolojia wana uvumilivu sanaWapi nimeandika kuwa nimem-support.....??
Wanabodi,
Huku nikiisubiri kesho kwa hamu kushuhudia akili za wanawake kwenye kilele siku ya wanawake duniani hapo Machi 8, huku nikitafakari mwelekeo na mustakabali wa siasa zetu za hapa nyumbani Tanzania, nimekuja kujiridhisha kiukweli kabisa ukubali, ukatae, kumbe wanawake wana akili sana kutushinda sisi wanaume!, ila wengi walikuwa hawalijui hili kwasababu siku zote sisi wanaume tumekuwa tunawabania, tunawazibia na kuwakandamiza!.
Na hata huyu Mwanamke Numero Uno Tanzania, kiukweli alibaniwa sana na kama sio Mwenyeenzi Mungu kuingilia kati na kumuibua, kamwe tusingeutambua uwezo wake na akili zake!.
Hata kwenye medani za siasa na uongozi, kiukweli kabisa wanawake wameonyesha uwezo na kuwa na akili nyingi zaidi ya nanaume!, na akili kubwa kuliko wanaume ambao ni akili ndogo!.
Kesho tutashuhudia kundi fulani la wanawake 19 wenye akili kubwa, likiibuka kidedea dhidi ya kundi fulani kuubwa na watu fulani ambao huwa wanataniwa jina fulani la Utani!.
Hata wale wanyama Nyumbu, kwenye Serengeti migration, ,je ulijua kumbe mnyama ambaye huwa anaongoza kuvuka mto ni jike?. Kama ulikuwa hujui sasa ndio ujue na usubirie kesho na kushuhudia wanawake wenye akili kubwa wakifanya vitu vikubwa!.
Nahitimisha hili swali, ni wangapi humu walikuwa wanajua wanawake wana akili na uwezo kuliko mwanaume?. Yaani hata Eva, kumbe alikuwa na akili kuliko Adamu na kiukweli ndio maana wakiamua kitu ni wameamua!. Na usikute sisi ambao ni dhaifu kwa jinsia ile ndio maana tunapelekwa pelekwa, kwa kifupi tunapelekeshwa!.
Tena sio tuu wanawake wana akili kuliko wanaume bali hata uwezo!, Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani: Je Wajua Kuna Wanawake Wana Uwezo Mkubwa Kuliko Wanaume ila Wamekuwa Wanabaniwa!. Hata Huyo Kuonyesha Uwezo na ...
Hata kwenye kazi Je, kuna kazi za kike na za kiume? Fupa hili lililowashinda wanaume wanne, mwanamke mmoja ataliweza?
Baada ya kuujua ukweli huu, sasa ni mwendo wa heshima na adabu kwa wanawake wote. Siku ya wanawake duniani, hongera wanawake wote duniani.
Mungu ibariki Tanzania
Paskali.
Naunga mkono hoja, Rais Samia amethibitisha kuna vitu wanawake wanaweza kufanya vizuri kushinda hata wanaume!.Samia ameweza kuachieve vitu ambavyo ngosha mwenzangu alitumia nguvu kubwa sana Na hakufanikiwa.
Wanabodi,
nikitafakari mwelekeo na mustakabali wa siasa zetu za hapa nyumbani Tanzania, nimekuja kujiridhisha kiukweli kabisa ukubali, ukatae, kumbe wanawake wana akili sana kutushinda sisi wanaume!, ila wengi walikuwa hawalijui hili kwasababu siku zote sisi wanaume tumekuwa tunawabania, tunawazibia na kuwakandamiza!.
Na hata huyu Mwanamke Numero Uno Tanzania, kiukweli alibaniwa sana na kama sio Mwenyeenzi Mungu kuingilia kati na kumuibua, kamwe tusingeutambua uwezo wake na akili zake!.
Hata kwenye medani za siasa na uongozi, kiukweli kabisa wanawake wameonyesha uwezo na kuwa na akili nyingi zaidi ya nanaume!, na akili kubwa kuliko wanaume ambao ni akili ndogo!.
Baada ya kuujua ukweli huu, sasa ni mwendo wa heshima na adabu kwa wanawake wote.
Paskali.
Mkuu Mazigazi , karibu pande hizi uone uwezo wa hao unaowaita pambo tuu!.Another lady to sit the chair Naaah!! Big NOO tushaona ya kuona enough is enough wako pale kama pambo tu. That job since the beginning disgned for men, Women for showcasing tu not their suitable position msije sema Nina stereotypes hapana huo ndio uhalisia.
Ndugu P,atakuambia hata covid-19 ni akili kubwa ndio maana hivyo 😂Mzee wangu siku hizi unapambania kombe gani sijui maana hueleweki kabisaa...husomeki someki hata
hata huyu Mwanamke Numero Uno Tanzania, kiukweli alibaniwa sana na kama sio Mwenyeenzi Mungu kuingilia kati na kumuibua kwa kudra zake tuu, kamwe tusingeutambua uwezo wake na akili zake!.
Tena sio tuu wanawake wana akili kuliko wanaume bali hata uwezo!, Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani: Je Wajua Kuna Wanawake Wana Uwezo Mkubwa Kuliko Wanaume ila Wamekuwa Wanabaniwa!. Hata Huyo Kuonyesha Uwezo na ...
Mungu ibariki Tanzania
Paskali.
Wanabodi,
Huku nikiisubiri kesho kwa hamu kushuhudia akili za wanawake kwenye kilele siku ya wanawake duniani hapo Machi 8, huku nikitafakari mwelekeo na mustakabali wa siasa zetu za hapa nyumbani Tanzania, nimekuja kujiridhisha kiukweli kabisa ukubali, ukatae, kumbe wanawake wana akili sana kutushinda sisi wanaume!, ila wengi walikuwa hawalijui hili kwasababu siku zote sisi wanaume tumekuwa tunawabania, tunawazibia na kuwakandamiza!.
Na hata huyu Mwanamke Numero Uno Tanzania, kiukweli alibaniwa sana na kama sio Mwenyeenzi Mungu kuingilia kati na kumuibua, kamwe tusingeutambua uwezo wake na akili zake!.
Hata kwenye medani za siasa na uongozi, kiukweli kabisa wanawake wameonyesha uwezo na kuwa na akili nyingi zaidi ya nanaume!, na akili kubwa kuliko wanaume ambao ni akili ndogo!.
Kesho tutashuhudia kundi fulani la wanawake 19 wenye akili kubwa, likiibuka kidedea dhidi ya kundi fulani kuubwa na watu fulani ambao huwa wanataniwa jina fulani la Utani!.
Hata wale wanyama Nyumbu, kwenye Serengeti migration, ,je ulijua kumbe mnyama ambaye huwa anaongoza kuvuka mto ni jike?. Kama ulikuwa hujui sasa ndio ujue na usubirie kesho na kushuhudia wanawake wenye akili kubwa wakifanya vitu vikubwa!.
Nahitimisha hili swali, ni wangapi humu walikuwa wanajua wanawake wana akili na uwezo kuliko mwanaume?. Yaani hata Eva, kumbe alikuwa na akili kuliko Adamu na kiukweli ndio maana wakiamua kitu ni wameamua!. Na usikute sisi ambao ni dhaifu kwa jinsia ile ndio maana tunapelekwa pelekwa, kwa kifupi tunapelekeshwa!.
Tena sio tuu wanawake wana akili kuliko wanaume bali hata uwezo!, Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani: Je Wajua Kuna Wanawake Wana Uwezo Mkubwa Kuliko Wanaume ila Wamekuwa Wanabaniwa!. Hata Huyo Kuonyesha Uwezo na ...
Hata kwenye kazi Je, kuna kazi za kike na za kiume? Fupa hili lililowashinda wanaume wanne, mwanamke mmoja ataliweza?
Baada ya kuujua ukweli huu, sasa ni mwendo wa heshima na adabu kwa wanawake wote. Siku ya wanawake duniani, hongera wanawake wote duniani.
Mungu ibariki Tanzania
Paskali.
Wanawake wana akili kushinda wanaume!.Wanabodi,
Huku nikiisubiri kesho kwa hamu kushuhudia akili za wanawake kwenye kilele siku ya wanawake duniani hapo Machi 8, huku nikitafakari mwelekeo na mustakabali wa siasa zetu za hapa nyumbani Tanzania, nimekuja kujiridhisha kiukweli kabisa ukubali, ukatae, kumbe wanawake wana akili sana kutushinda sisi wanaume!, ila wengi walikuwa hawalijui hili kwasababu siku zote sisi wanaume tumekuwa tunawabania, tunawazibia na kuwakandamiza!.
Na hata huyu Mwanamke Numero Uno Tanzania, kiukweli alibaniwa sana na kama sio Mwenyeenzi Mungu kuingilia kati na kumuibua, kamwe tusingeutambua uwezo wake na akili zake!.
, hongera wanawake wote duniani.
Mungu ibariki Tanzania
Paskali.