Wanawake wanakuwa na backup ya mwanaume akilini mwao kama mahusiano au ndoa zao zitafeli

Haifikii backup ya mwanaume, ukiona mwanamke anayo backup jua alishtukia mumewe/mpenziwe kuwa na wanawake wengine na mpaka watoto hukoo kwinginekeo, acha tuendelee kufaidi Dunia yenye multiple Kila sekta
 


Njia pekee ya kumlinda mwanamke ni kumpenda Basi nothing More.


UPENDO hulinda, hutunza, na kuhifadhi....
 
Ukiachana na ex kuna mwamba alikutongoza akakuachia na namba lakini hukumpaga umakini na ukampotezea ila namba hukufuta siku mkizinguana na uliyenae ndio wamkumbuka na kumcheki fasta kwenda kupoza moyo
Sina hizo mambo mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…