Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Mtoto wakiume akaoshe vyombo !!?? Ah hapana hiyo kazi ya mama yake au dada zakeUtawaskia wakilalamika ooh wanaume wa siku hizi, they are not caring, aren't strong men.
Ukija kuangalia sasa jinsi wanavyolea watoto wao wa kiume ndio majanga zaidi.
Watoto wakiume wamekuwa mtihani mkubwa mikononi mwa Mama zao.
Hawawezi kufanya kazi ngumu, hawezi kutoka nje kukojoa mpaka asindikizwe, yaani hana ujasiri wowote. Akipigwa nje na watoto wenzie anakimbia analia kwa mama yake. Mama naye anaenda kulianzisha varangati indefence kwa mwanaye.
Mtoto anamaliza Darasa la Saba hawezi hata kuosha vyombo, hawezi hata kupiga deki au kufagia.
Je mnatuletea wanaume wa namna gani siku zijazo?
Sawa kwa hiyo atakapoenda Porini kulima kutafuta maokoto ataondoka na dada zake?Mtoto wakiume akaoshe vyombo !!?? Ah hapana hiyo kazi ya mama yake au dada zake
Ndo ujinga mnaofanya watoto wanakuwa wajinga pia.Mtoto wakiume akaoshe vyombo !!?? Ah hapana hiyo kazi ya mama yake au dada zake
Watotk wakiume wane da kuwinda vyombo vya nini tenaSawa kwa hiyo atakapoenda Porini kulima kutafuta maokoto ataondoka na dada zake?
Mtoto wangu wakiume hapaswi kuosha vyombo. Kazi ya wanawake hiyoNdo ujinga mnaofanya watoto wanakuwa wajinga pia.
Hizo skills za maisha ya kawaida lazima mwanaume awe nazo
In any way whether una pesa nyingi au kidogo Mtoto wa kiume lazima awe amekaza.Mwisho wa siku hao ndo wana support ushoga,maana hawawezi kazi ngumu
We jamaa kuna watu wanakutafuta kule jukwaa la siasaMwisho wa siku hao ndo wana support ushoga,maana hawawezi kazi ngumu
Badilisha bango lako Bush Dokta . Wanaofanya watoto wa kiume kuwa nyoronyoro ni wanaume kama hawa.Mtoto wakiume akaoshe vyombo !!?? Ah hapana hiyo kazi ya mama yake au dada zake
Lengo hapa sio kuosha vyombo, nimetaja hiyo kama minimum domestic activities.Mtoto wangu wakiume hapaswi kuosha vyombo. Kazi ya wanawake hiyo
Kazi Ya wanawake kwani ina maziwa.Mtoto wangu wakiume hapaswi kuosha vyombo. Kazi ya wanawake hiyo
Eeh sii wanaume wenyewe wakingese kama hawa...eti mtoto wakiume aoshe vyombo toka lini acheni ufala. Jukumu la mwanaume nikuweka chakula mezani, kuosha kudeki hiyo ni mwanamkeBadilisha bango lako Bush Dokta . Wanaofanya watoto wa kiume kuwa nyoronyoro ni wanaume kama hawa.
Na usitegemee sana mtoto.wa kiume kuwa strong kama analelewa na mama peke yake.
Tatizo linarudi pale pale...wa kulaumiwa ni mwanaume.
Demi mbona unatugeuzia ubao? You don't want to be part of solutionBadilisha bango lako Bush Dokta . Wanaofanya watoto wa kiume kuwa nyoronyoro ni wanaume kama hawa.
Na usitegemee sana mtoto.wa kiume kuwa strong kama analelewa na mama peke yake.
Tatizo linarudi pale pale...wa kulaumiwa ni mwanaume.
Mkuu kuna nyumba zingine ziko well off, wana kila kitu nyumbani Maji, umeme, gesi, washer machunes, sasa kunakuwa na uhaba wa domestic activuities za kumtengeneza mtoto. So inabidi afanye hizo zilizopo sio kumwacha anakuwa kama Zoba.Eeh sii wanaume wenyewe wakingese kama hawa...eti mtoto wakiume aoshe vyombo toka lini acheni ufala. Jukumu la mwanaume nikuweka chakula mezani, kuosha kudeki hiyo ni mwanamke
Siwageuzii kibao lakini ipo wazi. Mtoto wa kiume anahitaji father figure. Kama wewe haupo unategemea nini? Alelewe kiugumu gumu na mama yake? Ni nadra sana kutokea. Wa kulaumiwa ni nyie na hakuna mwingine.Demi mbona unatugeuzia ubao? You don't want to be part of solution
Kwa hiyo tufanyeje na sisi tunashinda nyumbani hatupo?Siwageuzii kibao lakini ipo wazi. Mtoto wa kiume anahitaji father figure. Kama wewe haupo unategemea nini? Alelewe kiugumu gumu na mama yake? Ni nadra sana kutokea. Wa kulaukiwa ni nyie na hakuna mwingine.
Mie mtoto wangu wakiume nilishamfu disha kuwa wewe ndio mwanaume kazi za kike wacha wafanya dada zako na mama yako. Wewe kama mwanaume jukumu lako ni kuweka food on the table.Mkuu kuna nyumba zingine ziko well off, wana kila kitu nyumbani Maji, umeme, gesi, washer machunes, sasa kunakuwa na uhaba wa domestic activuities za kumtengeneza mtoto. So inabidi afanye hizo zilizopo sio kumwacha anakuwa kama Zoba.
Huwezi elewa wewe kataa ndoa kaa pembeni unachowaza ni mbususu tu.Eeh sii wanaume wenyewe wakingese kama hawa...eti mtoto wakiume aoshe vyombo toka lini acheni ufala. Jukumu la mwanaume nikuweka chakula mezani, kuosha kudeki hiyo ni mwanamke
Hampo kila siku mwaka mzima? Toa maelekezo kama haupo na kuna wengine wanasema kabisa mtoto wangu asiingie jikoni unategemea nini.Kwa hiyo tufanyeje na sisi tunashinda nyumbani hatupo?