Wanawake wanalalamika wanaume wa siku hizi hawafai, lakini wanawalea watoto wao kwa mtindo mbovu zaidi. Hawatafaa kwa lolote.

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
24,831
Reaction score
45,154
Utawaskia wakilalamika ooh wanaume wa siku hizi, they are not caring, aren't strong men.

Ukija kuangalia sasa jinsi wanavyolea watoto wao wa kiume ndio majanga zaidi.

Watoto wakiume wamekuwa mtihani mkubwa mikononi mwa Mama zao.

Hawawezi kufanya kazi ngumu, hawezi kutoka nje kukojoa mpaka asindikizwe, yaani hana ujasiri wowote. Akipigwa nje na watoto wenzie anakimbia analia kwa mama yake. Mama naye anaenda kulianzisha varangati indefence kwa mwanaye.

Mtoto anamaliza Darasa la Saba hawezi hata kuosha vyombo, hawezi hata kupiga deki au kufagia.

Je mnatuletea wanaume wa namna gani siku zijazo?
 
Mtoto wakiume akaoshe vyombo !!?? Ah hapana hiyo kazi ya mama yake au dada zake
 
Badilisha bango lako Bush Dokta . Wanaofanya watoto wa kiume kuwa nyoronyoro ni wanaume kama hawa.
Na usitegemee sana mtoto.wa kiume kuwa strong kama analelewa na mama peke yake.
Tatizo linarudi pale pale...wa kulaumiwa ni mwanaume.
 
Eeh sii wanaume wenyewe wakingese kama hawa...eti mtoto wakiume aoshe vyombo toka lini acheni ufala. Jukumu la mwanaume nikuweka chakula mezani, kuosha kudeki hiyo ni mwanamke
 
Demi mbona unatugeuzia ubao? You don't want to be part of solution
 
Eeh sii wanaume wenyewe wakingese kama hawa...eti mtoto wakiume aoshe vyombo toka lini acheni ufala. Jukumu la mwanaume nikuweka chakula mezani, kuosha kudeki hiyo ni mwanamke
Mkuu kuna nyumba zingine ziko well off, wana kila kitu nyumbani Maji, umeme, gesi, washer machunes, sasa kunakuwa na uhaba wa domestic activuities za kumtengeneza mtoto. So inabidi afanye hizo zilizopo sio kumwacha anakuwa kama Zoba.
 
Mie mtoto wangu wakiume nilishamfu disha kuwa wewe ndio mwanaume kazi za kike wacha wafanya dada zako na mama yako. Wewe kama mwanaume jukumu lako ni kuweka food on the table.

Yaani kweli mtoto wakiume ashike sufuria aanze sugua na steal wire 🤣🤣🤣🤣🤣 m adhalilisha uanaume
 
Eeh sii wanaume wenyewe wakingese kama hawa...eti mtoto wakiume aoshe vyombo toka lini acheni ufala. Jukumu la mwanaume nikuweka chakula mezani, kuosha kudeki hiyo ni mwanamke
Huwezi elewa wewe kataa ndoa kaa pembeni unachowaza ni mbususu tu.
Wapo.watoto wa kiume wameosha vyombo na kazi nyingine na ndio wanaoongoza kuwa baba bora kwa sasa. Kuosha vyombo ukiwa mdogo haimaanishi ije kuwa kazi yako ya kila siku ukiwa baba.
Mbona watoto wa kike tumelima...kwa nini hatukuwa tunaambiwa hizi ni kazi za kiume?
We bana kaa pembeni tukutane kule kwenye kula mbususu...you cannot be a father figure.
 
Kwa hiyo tufanyeje na sisi tunashinda nyumbani hatupo?
Hampo kila siku mwaka mzima? Toa maelekezo kama haupo na kuna wengine wanasema kabisa mtoto wangu asiingie jikoni unategemea nini.
Na kama kweli unakosa muda wa kukaa na watoto wako basi una tatizo kubwa. Baba zetu walikuwa busy lakini tuliona uwepo wao.
 
Back
Top Bottom