Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Utawaskia wakilalamika ooh wanaume wa siku hizi, they are not caring, aren't strong men.
Ukija kuangalia sasa jinsi wanavyolea watoto wao wa kiume ndio majanga zaidi.
Watoto wakiume wamekuwa mtihani mkubwa mikononi mwa Mama zao.
Hawawezi kufanya kazi ngumu, hawezi kutoka nje kukojoa mpaka asindikizwe, yaani hana ujasiri wowote. Akipigwa nje na watoto wenzie anakimbia analia kwa mama yake. Mama naye anaenda kulianzisha varangati indefence kwa mwanaye.
Mtoto anamaliza Darasa la Saba hawezi hata kuosha vyombo, hawezi hata kupiga deki au kufagia.
Je mnatuletea wanaume wa namna gani siku zijazo?