Wanawake Wananichosha Hapa Tu..!!

Kazi kulaumu wanawake tu lakini weee binafsi una michepuko mingapi??
 
Tutue babu wee! Heee kila siku wanawake kila siku wanawake kwan mnadhani sie hatuoni ya kwenu MMU sio kila siku lawama kwa wanawake hebu anzishen hata Uzi wa kutusifia Mara moja moja Mtutue watoto wa wenzenu
 
Sasa kama mnavurunda tusiwaambie????
Hii ndo ile wahuni tunaiitaga
''OMBA SAMAKI UPEWE NYOKA/ OMBA UPEWE USICHOTAKA''
 
Sasa kama mnavurunda tusiwaambie????
Hii ndo ile wahuni tunaiitaga
''OMBA SAMAKI UPEWE NYOKA/ OMBA UPEWE USICHOTAKA''
Kwaiyo wewe unaona ni wanawake tu ndo wakosefu? Ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Filauni,
 
Kwaiyo wewe unaona ni wanawake tu ndo wakosefu? Ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Filauni,
Sasa nyinyi si mmeumbwa ili tuwaongoze??? Tusipowaambia ukweli si tutapata dhambi????? Sometimes tukiwachana muwe mnashukuru mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…