BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
"Walithi" ndio nn mbona unaongea kama Makonda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na nilijua tuAcha hizo bhana[emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
nanyie acheni kutuchunguza..tusichunguzaneAcheni kutuchunguza... Shens....
Kazi kulaumu wanawake tu lakini weee binafsi una michepuko mingapi??Kuna Madem ni shidaaa Msione wanasali makanisani
kwa Kulia hadi makamasi mkajua wanaombea Nchi
yetu isiingie Vitani,au wanaombea Mayatima,Kuna
Madem wanalia na
kulia na Mengi,Wengine wanaomba Waume Zao
wafe ili Walithi Nyumba..Huwa Nikiwaza Kuoa natetemeka mpaka najisikia kunena kwa Lugha
RikababantarikatakayasatahabatarekisataraKANT
ANGAZEshataayahma
MUNGU SAIDIA KIZAZI HIKI!
Una kipaji cha kutabiri af kwanini tusifungue ofisi tupige mawe?[emoji12]Na nilijua tu
Kabla hatujafungua tukubaliane kwanza.... Mimi nitakua mshika helaUna kipaji cha kutabiri af kwanini tusifungue ofisi tupige mawe?[emoji12]
Tutue babu wee! Heee kila siku wanawake kila siku wanawake kwan mnadhani sie hatuoni ya kwenu MMU sio kila siku lawama kwa wanawake hebu anzishen hata Uzi wa kutusifia Mara moja moja Mtutue watoto wa wenzenuKuna Madem ni shidaaa Msione wanasali makanisani
kwa Kulia hadi makamasi mkajua wanaombea Nchi
yetu isiingie Vitani,au wanaombea Mayatima,Kuna
Madem wanalia na
kulia na Mengi,Wengine wanaomba Waume Zao
wafe ili Walithi Nyumba..Huwa Nikiwaza Kuoa natetemeka mpaka najisikia kunena kwa Lugha
RikababantarikatakayasatahabatarekisataraKANT
ANGAZEshataayahma
MUNGU SAIDIA KIZAZI HIKI!
We mwenye kipaji unatakiwa u-concentrate kwenye tahajudi mie ndo mtunza hazina[emoji23]Kabla hatujafungua tukubaliane kwanza.... Mimi nitakua mshika hela
Sasa kama mnavurunda tusiwaambie????Tutue babu wee! Heee kila siku wanawake kila siku wanawake kwan mnadhani sie hatuoni ya kwenu MMU sio kila siku lawama kwa wanawake hebu anzishen hata Uzi wa kutusifia Mara moja moja Mtutue watoto wa wenzenu
Kwaiyo wewe unaona ni wanawake tu ndo wakosefu? Ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Filauni,Sasa kama mnavurunda tusiwaambie????
Hii ndo ile wahuni tunaiitaga
''OMBA SAMAKI UPEWE NYOKA/ OMBA UPEWE USICHOTAKA''
Sasa nyinyi si mmeumbwa ili tuwaongoze??? Tusipowaambia ukweli si tutapata dhambi????? Sometimes tukiwachana muwe mnashukuru munguKwaiyo wewe unaona ni wanawake tu ndo wakosefu? Ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Filauni,