Wanawake wananyenyekea kwa sababu hawana pesa: Wanafuata chakula

We jamaa unazingua..mimi niliishi na limoja halina kitu lakini ni pasua kichwa mzee..hata umkanye vipi haelewi.
 
Including baba yako?
 
Mwanamke masikini asie na elimu wala kazi anatakikana, Wahi nafasi ni moja tu.
 
Huwa nawashangaa watu wanaowatolea mifano bibi zetu wakati ukweli ni kwamba bibi zetu walikuwa vile si kwa kupenda ila ni kwa sababu hawakuwa na sauti ya kujitetea, zamani ndoa ilikuwepo kwa ajili ya kumfurahisha mwanaume tu na ili mwanaume afurahi kwenye ndoa inabidi mwanamke asacrifice furaha yake aishi kama mtumwa for the rest of her life, yani mfumo dume uliweka mazingira ya kumfurahisha mwanaume tu hata kama itamaanisha kumkandamiza mwanamke
 
Hivi wanaume wa jf hamuwezagi kujadili hoja bila kujadili maisha ya mtu binafsi what kind of argument is this, ushawahi kuona mahali nimesema kauli kama "wewe kwa mitazamo hiyo huwezi kuwa na mke wa maana", au "huyo mke uliyenaye ana kazi nzito namuonea huruma"

Jadilini hoja acheni ad hominem attacks zinaonesha kuwa mmeshindwa hoja, kwa sababu si lazima kila tunachojadili humu kiwe na uhusiano na maisha yetu halisi, mfano si kila anayetetea walemavu basi naye ni mlemavu kitu ambacho wanaume wengi wa jf mnalazimisha kiwe

Ndio mimi nasema wanawake wengi mnaowalalamikia na kuwaita kila aina ya majina, lazima walikutana na wanaume wahuni wakawabadili mioyo hakuna mwanamke bikira, na anayeingia kwenye mahusiano kwa mara ya kwanza bila kuwa na mapenzi ya dhati hayupo
 
Achana naye huyo anaishi sebuleni kwa shemeji yake🤣Hana hela anakasirikia hata paka
 
Nishakuzoea.
 
Wapi nimemind....... au kuna jibu baya nimemjibu huyo best yako?. Kwanza huwaga sipendi kuwatukana watoto wa kike humu JF zaidi ya kuwapuuzia na hasa ninapo kutana na type zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…