Matteo Vargas
JF-Expert Member
- Jan 8, 2019
- 803
- 1,329
Una maanisha ndoa za zamani zilikuwa zinadumu sababu wanawake walikuwa wanavumilia mateso??Kwanini unyenyekevu unanasibishwa na mwanamke kukubali manyanyaso? Mimi kwa kweli the only thing i can offer ni “love” na spices zake…. I know very well how to draw the line to disrespects.
Hivi wanaume wanaelewa kwanini watu wa zamani (waliokuwa na ndoa za kupigiwa mfano) wamepambana kwa hali na mali kuwapeleka watoto wao wa kike shule? Ni wazi wababa wanajua makosa waliyoyafanya na wamama wanajua makosa waliyofanyiwa…… hakuna anayekubali mwanae apitie hayo tena.
Mimi nawaambia watu, Ndoa za zamani zingekuwa nzuri kiasi hiko matokeo yasingekuwa haya tunayoyaona, kwa akili zangu ndogo ni kama hao hao watu wa zamani walifika point wakasema this is bullshit, wakaamua kulea watoto vinginevyo 😜