Wanawake wananyenyekea kwa sababu hawana pesa: Wanafuata chakula

Eeh sasa jitu hunilishi na hunivishi afu unipandishie koromeo how dare you [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mwanaume akikulisha.na.kukuvisha basi tegemea.maajabu meengi, dharau, usaliti na mateso kibao kwasababu anajua huezi ishi bila yeye huna pakwenda hehehe[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Thanks to our parents [emoji120][emoji178]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
In simple say,
Katika ndoa, Mwanaume ndio anatapeliwa..

Ndio utapeli mbaya zaidi maana Unafanyiwa utapeli halafu unaugharamikia utapeli huo ukumalize mwenyewe,

Kila nikifumba macho na kufumbua Sioni Mwanamke Mwenye Pesa anayehitaji Ndoa.

Atahitaji Sex satisfaction apite vile, na hata hio anauwezo wa kuipata kwa Njia za kisasa..

Sisi ndio tuna waza kuwaweka ndani, eti unadanganya unatakiwa umhudumie, huku unaingizwa mkenge na vi cheap services kama kupikiwa na usafi.
Rubish, Hii ni full robbery.
Sasa mkuu si bora hawa wanao kupikia na kukupa services hao ndo wife material sasa.
 
Mwanamke mwenye kazi, mshahara mnono, nyumba na gari, hawezi kumuheshimu mumewe vile inavopaswa.

Ndoa ni kama taasisi ya kitapeli ambayo mwanamke anaitumia kukidhi mahitaji yake. Kinyume na hapo, mwanamke hana haja na ndoa.

Kuna dada mmoja ni mwanasheria yupo Arusha, hawezi japo kumpikia chai mumewe. Muda wote yuko kazini, na akirudi hana muda.

Anajua mumewe ni kama kikaragosi ambacho hakimtishi kwa lolote.

Kwa mantiki hiyo, nihitimishe kwa kusema kwamba, unyenyekevu wa mwanamke katika ndoa ni danganya toto ili aweze kuendelea kupata mahitaji yake ikiwemo chakula na mavazi.

Akifanikiwa kuvipata hivyo bila usaidizi wako, atakunjua makucha yake rasmi akucharange kama shumileta.

Unyenyekevu ni utapeli. Hadaa ya kuchuma mali.

Mwanamke mwenye fedha ni mwanaume mwenzio. Ukimkoromea anakucharaza bakora.

MY TAKE: Wanawake wafukuzwe kazi.
Tafuta mwanamke mtakae heshimiana mkuu tatizo mnangalia sura na maumbile lazima mteseke tu
 
Mwanamke mwenye kazi, mshahara mnono, nyumba na gari, hawezi kumuheshimu mumewe vile inavopaswa.

Ndoa ni kama taasisi ya kitapeli ambayo mwanamke anaitumia kukidhi mahitaji yake. Kinyume na hapo, mwanamke hana haja na ndoa.

Kuna dada mmoja ni mwanasheria yupo Arusha, hawezi japo kumpikia chai mumewe. Muda wote yuko kazini, na akirudi hana muda.

Anajua mumewe ni kama kikaragosi ambacho hakimtishi kwa lolote.

Kwa mantiki hiyo, nihitimishe kwa kusema kwamba, unyenyekevu wa mwanamke katika ndoa ni danganya toto ili aweze kuendelea kupata mahitaji yake ikiwemo chakula na mavazi.

Akifanikiwa kuvipata hivyo bila usaidizi wako, atakunjua makucha yake rasmi akucharange kama shumileta.

Unyenyekevu ni utapeli. Hadaa ya kuchuma mali.

Mwanamke mwenye fedha ni mwanaume mwenzio. Ukimkoromea anakucharaza bakora.

MY TAKE: Wanawake wafukuzwe kazi.
Mfano hai kabisa mama yako kafuata chakula kwa baba yako au unaropoka tu mkuu muda mwingine waheshimuni hawa wanawake japo wachache wanazingua ila sio dili sana kuwananga kila saa kama vile jinsia me imekamilika wakati wapo wanaume wangese tu
 
Kama ni vicheap services mbona mkiachiwa nyumba siku moja tu mnahaha, kwanini huwa hamvipendi na mnaona uvivu kuvifanya, na mpaka leo bado mnaviregard kama majukumu ya mwanamke
Nilikua nataka nikuite hapa dada uje kuchangia.
 
Mwanamke mwenye kazi, mshahara mnono, nyumba na gari, hawezi kumuheshimu mumewe vile inavopaswa.

Ndoa ni kama taasisi ya kitapeli ambayo mwanamke anaitumia kukidhi mahitaji yake. Kinyume na hapo, mwanamke hana haja na ndoa.

Kuna dada mmoja ni mwanasheria yupo Arusha, hawezi japo kumpikia chai mumewe. Muda wote yuko kazini, na akirudi hana muda.

Anajua mumewe ni kama kikaragosi ambacho hakimtishi kwa lolote.

Kwa mantiki hiyo, nihitimishe kwa kusema kwamba, unyenyekevu wa mwanamke katika ndoa ni danganya toto ili aweze kuendelea kupata mahitaji yake ikiwemo chakula na mavazi.

Akifanikiwa kuvipata hivyo bila usaidizi wako, atakunjua makucha yake rasmi akucharange kama shumileta.

Unyenyekevu ni utapeli. Hadaa ya kuchuma mali.

Mwanamke mwenye fedha ni mwanaume mwenzio. Ukimkoromea anakucharaza bakora.

MY TAKE: Wanawake wafukuzwe kazi.
ndomana wazee wanatushaur tuoe wanawake tunaowazd kpato na tuwawekee vikwazo wasije kupata kipato kikubwa kuliko sis
 
Nafikiri mkaka kijana awe na mitazamo chanya juu ya ndoa

Aoe kwa sababu anampenda fulani
Aoe kwa sababu anahitaji kujenga familia na fulani provided that mtashirikiana sio kwenye tendo tu hata basic chores

Sio uoe kwasababu unataka mtu akuheshimu, akunyenyekee kwani we MUNGU?

Sio uoe ufuliwe, upikiwe kwani yeye.ni mtumwa provided that na yeye ana damu sio roboti kwamba anaeza mtumikisha kwa kila kitu

Nafikiri wazazi sasa wawaeleweshe hawa wanawake vijana wajitambue aisee 🙌🙌
At least hapa umeongea nikakuelewa.
 
Mfano hai kabisa mama yako kafuata chakula kwa baba yako au unaropoka tu mkuu muda mwingine waheshimuni hawa wanawake japo wachache wanazingua ila sio dili sana kuwananga kila saa kama vile jinsia me imekamilika wakati wapo wanaume wangese tu
Ni mama zetu lakini huo ndio ukweli na ukitaka kujua ukweli zaidi ewe bwana mdogo muulize dingi. Mwanaume akiwa na kipato huwa anahitaji familia ila mwanamke mwenye kipato huwa anahitaji watoto tu.
 
Mwanamke mwenye kazi, mshahara mnono, nyumba na gari, hawezi kumuheshimu mumewe vile inavopaswa.

Ndoa ni kama taasisi ya kitapeli ambayo mwanamke anaitumia kukidhi mahitaji yake. Kinyume na hapo, mwanamke hana haja na ndoa.

Kuna dada mmoja ni mwanasheria yupo Arusha, hawezi japo kumpikia chai mumewe. Muda wote yuko kazini, na akirudi hana muda.

Anajua mumewe ni kama kikaragosi ambacho hakimtishi kwa lolote.

Kwa mantiki hiyo, nihitimishe kwa kusema kwamba, unyenyekevu wa mwanamke katika ndoa ni danganya toto ili aweze kuendelea kupata mahitaji yake ikiwemo chakula na mavazi.

Akifanikiwa kuvipata hivyo bila usaidizi wako, atakunjua makucha yake rasmi akucharange kama shumileta.

Unyenyekevu ni utapeli. Hadaa ya kuchuma mali.

Mwanamke mwenye fedha ni mwanaume mwenzio. Ukimkoromea anakucharaza bakora.

MY TAKE: Wanawake wafukuzwe kazi.
Hao huwa kwangu wanatulia kabisa
 
Back
Top Bottom