Wanawake wananyenyekea kwa sababu hawana pesa: Wanafuata chakula

Wanawake wananyenyekea kwa sababu hawana pesa: Wanafuata chakula

Aah mkuu sijamaanisha kutotambua umuhimu wa.mume/mwanaume

Shida yenu mnapenda kuogopwa sana, mnapenda yaan kuona wenzenu watumwa nyie wamiliki akta wote ni binadamu mnatumia ile option ya kua hana kitu kumteketeza kabisa
Ungeweka neno "baadhi" ningekuelewa.Usichanganye wanaume wote.Hata hivyo,tofautisha mwanaume anapotumia mamlaka kama mume,baba na kiongozi na mwanaume anayeongozwa na ubabe wenye ukatili.Hao ni watu wawili tofauti kabisa.
 
Una wazimu si bure! Mbona wake zetu ni vigogo na bado wanatuheshimu, wanapika, wanatandika Vitanda, wanatufuta tukimaliza kula k zao, nk wakati huo huo wanaleta pesa nyumbani. Acheni ujinga wenu. Acha ku generalise. Mwanamke anaheshimu mume wake hata akiwa na elimu, cheo Inategemea na makuzi yake.
Ukatambikie katika laki moja kama wako unapata mmoja.
Au la kama ajaacha mafundisho ya dini yake.
 
Nafikiri mkaka kijana awe na mitazamo chanya juu ya ndoa

Aoe kwa sababu anampenda fulani
Aoe kwa sababu anahitaji kujenga familia na fulani provided that mtashirikiana sio kwenye tendo tu hata basic chores

Sio uoe kwasababu unataka mtu akuheshimu, akunyenyekee kwani we MUNGU?

Sio uoe ufuliwe, upikiwe kwani yeye.ni mtumwa provided that na yeye ana damu sio roboti kwamba anaeza mtumikisha kwa kila kitu

Nafikiri wazazi sasa wawaeleweshe hawa wanawake vijana wajitambue aisee
 
Nafikiri mkaka kijana awe na mitazamo chanya juu ya ndoa

Aoe kwa sababu anampenda fulani
Aoe kwa sababu anahitaji kujenga familia na fulani provided that mtashirikiana sio kwenye tendo tu hata basic chores

Sio uoe kwasababu unataka mtu akuheshimu, akunyenyekee kwani we MUNGU?

Sio uoe ufuliwe, upikiwe kwani yeye.ni mtumwa provided that na yeye ana damu sio roboti kwamba anaeza mtumikisha kwa kila kitu

Nafikiri wazazi sasa wawaeleweshe hawa wanawake vijana wajitambue aisee [emoji119][emoji119]
Provided that zimejirudia mno....

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Hamna kiumbe kisicho na heshima mkuu l, shida ya wanaume wanapenda ile kuheshimiwa beyond sijui unanipata???

Yaan wanataka.ile hali ya kuogopwa flani hivii yaani sijui nikueleezeejw kiongozi
wee mama ukweli unaishi kisimbe wee ni lisingo maza pro max... Usitake kuuliza nimejuaje haya...
 
Dah nna mke ni mtumishi wa uma yani jana nusu nimmalize kwa dharau...kakopa dinner set ya laki NNE bila kunishirikisha namuuliza kwanini ananijibu siku nyingne ntakwambia...nlijisahau
Hatari sana na wanapenda mikopo lakini huliza hela zinakwenda wapi aiseee utabaki unacheka tuu
 
Aah mkuu sijamaanisha kutotambua umuhimu wa.mume/mwanaume

Shida yenu mnapenda kuogopwa sana, mnapenda yaan kuona wenzenu watumwa nyie wamiliki akta wote ni binadamu mnatumia ile option ya kua hana kitu kumteketeza kabisa
Ni kosa kumuona mwanamke kama inferior badala ya kumuona kama partner! Ukimnyanyasa naye atatafuta wasaa wa kulipiza. Nachukia pale mtu akimtaja mkewe’huyu mwanamke’ badala ya mke wangu.
 
To both sides how???

Mwanaume nikiwa na hela mke wangu hata aniombe mara elfu sifungui kinywa kumsema vibaya lakini leo mume akose kazi akae nyumbani mke atoke kwenda kutafuta jioni amuombe hela kidogo aone moto wake.
Mwanaume ufukuzwe kazi halafu mke awe na kazi halafu umuombe hela hahahahaha yani hapo ni sawa na kujimezesha bomu 😂😂😂😂
 
Hata hapa wanapita na wanafanya ukaidi kwa hizi fake IDs ila deep down wanatamani sana kuwa ndani ya ndoa.

Huwa zinakuja post humu kutafuta waume ukifungua profile ya muhusika inasema "Joined Yesterday” huyo siyo kwamba ni mpya ni hawa hawa feminists tunaokwaruzana nao humu kwenye post kama hizi wanakuja kivingine kujaribu bahati zao.
Nikupe mfano. Juzi nilikuwa nchi za waarabu. Nilipokuwa airport, akinadada watatu pisi Kali zikanifuata (Kama kuna member wa JF asinitaje), mmoja akanifuata na kuniuliza mzee wewe ni Mbongo? Nikajibu, mimi ni Mtanganyika haswa. Akasema ana SIM card anataka kuituma Tanzania. Akaomba niichukue.

Nikakataa kuwa siwajui wao inawezekana ni wanted na nikiichukua wanaweza kuniingiza. Nikawaeleza kuwa wengi wa mabinti wa kitanzania pale kama akina Uwoya wanaenda kupiga umalaya! Nisije kuunganishwa kuwa pengine ni kuwadi etc. Unajua nini walisema. Walitamka ‘sisi ni wake wa watu’ wakadai ‘tumeolewa’.

Naachia hapa
 
Back
Top Bottom