Wanawake wananyenyekea kwa sababu hawana pesa: Wanafuata chakula

Mwanamke mwenye kazi, mshahara mnono, nyumba na gari, hawezi kumuheshimu mumewe vile inavopaswa.

Ndoa ni kama taasisi ya kitapeli ambayo mwanamke anaitumia kukidhi mahitaji yake. Kinyume na hapo, mwanamke hana haja na ndoa.

Kuna dada mmoja ni mwanasheria yupo Arusha, hawezi japo kumpikia chai mumewe. Muda wote yuko kazini, na akirudi hana muda.

Anajua mumewe ni kama kikaragosi ambacho hakimtishi kwa lolote.

Kwa mantiki hiyo, nihitimishe kwa kusema kwamba, unyenyekevu wa mwanamke katika ndoa ni danganya toto ili aweze kuendelea kupata mahitaji yake ikiwemo chakula na mavazi.

Akifanikiwa kuvipata hivyo bila usaidizi wako, atakunjua makucha yake rasmi akucharange kama shumileta.

Unyenyekevu ni utapeli. Hadaa ya kuchuma mali.

Mwanamke mwenye fedha ni mwanaume mwenzio. Ukimkoromea anakucharaza bakora.

MY TAKE: Wanawake wafukuzwe kazi.
100%
 
Una wazimu si bure! Mbona wake zetu ni vigogo na bado wanatuheshimu, wanapika, wanatandika Vitanda, wanatufuta tukimaliza kula k zao, nk wakati huo huo wanaleta pesa nyumbani. Acheni ujinga wenu. Acha ku generalise. Mwanamke anaheshimu mume wake hata akiwa na elimu, cheo Inategemea na makuzi yake.
1/100
 
Eeh sasa jitu hunilishi na hunivishi afu unipandishie koromeo how dare you 😂😂😂😂😂😂😂😂

Mwanaume akikulisha.na.kukuvisha basi tegemea.maajabu meengi, dharau, usaliti na mateso kibao kwasababu anajua huezi ishi bila yeye huna pakwenda hehehe😁😁😁😁

Thanks to our parents 🙏💖
How dare you?
 
Daaah 😂😂
 
Nikakataa kuwa siwajui wao inawezekana ni wanted na nikiichukua wanaweza kuniingiza. Nikawaeleza kuwa wengi wa mabinti wa kitanzania pale kama akina Uwoya wanaenda kupiga umalaya! Nisije kuunganishwa kuwa pengine ni kuwadi etc. Unajua nini walisema. Walitamka ‘sisi ni wake wa watu’ wakadai ‘tumeolewa’.

Naachia hapa
Hao wameoa hao hao hawajaolewa!!!
 
Mwanamke mwenye kazi, mshahara mnono, nyumba na gari, hawezi kumuheshimu mumewe vile inavopaswa.

Ndoa ni kama taasisi ya kitapeli ambayo mwanamke anaitumia kukidhi mahitaji yake. Kinyume na hapo, mwanamke hana haja na ndoa.

Kuna dada mmoja ni mwanasheria yupo Arusha, hawezi japo kumpikia chai mumewe. Muda wote yuko kazini, na akirudi hana muda.

Anajua mumewe ni kama kikaragosi ambacho hakimtishi kwa lolote.

Kwa mantiki hiyo, nihitimishe kwa kusema kwamba, unyenyekevu wa mwanamke katika ndoa ni danganya toto ili aweze kuendelea kupata mahitaji yake ikiwemo chakula na mavazi.

Akifanikiwa kuvipata hivyo bila usaidizi wako, atakunjua makucha yake rasmi akucharange kama shumileta.

Unyenyekevu ni utapeli. Hadaa ya kuchuma mali.

Mwanamke mwenye fedha ni mwanaume mwenzio. Ukimkoromea anakucharaza bakora.

MY TAKE: Wanawake wafukuzwe kazi.
Sio wote jamani
 
In simple say,
Katika ndoa, Mwanaume ndio anatapeliwa..

Ndio utapeli mbaya zaidi maana Unafanyiwa utapeli halafu unaugharamikia utapeli huo ukumalize mwenyewe,

Kila nikifumba macho na kufumbua Sioni Mwanamke Mwenye Pesa anayehitaji Ndoa.

Atahitaji Sex satisfaction apite vile, na hata hio anauwezo wa kuipata kwa Njia za kisasa..

Sisi ndio tuna waza kuwaweka ndani, eti unadanganya unatakiwa umhudumie, huku unaingizwa mkenge na vi cheap services kama kupikiwa na usafi.
Rubish, Hii ni full robbery.
Sio wote wapo wenye pesa na ndoa wanahitaji pia
 
Kama ni vicheap services mbona mkiachiwa nyumba siku moja tu mnahaha, kwanini huwa hamvipendi na mnaona uvivu kuvifanya, na mpaka leo bado mnaviregard kama majukumu ya mwanamke
 
Back
Top Bottom