Madada wenye hela ambao wanyenyekevu wapo ila wachache mno,nimesha washuhudia wawili mmoja ana maduka ya nguo,mwengine ana duka la jumla vinywaji na chakula. Wale wadada waume zao walikuwa wanawapenda sana.
Yaani kama huyu dada mwenye duka jumla la vinywaji na chakula alikuwa anarudi mapema jioni kumpikia mmewe ambaye yy ni kinyozi,sometimes alikuwa anamlipia mpaka kodi ya frame yake, ila yule kinyozi alivyo pata hela ya mgao wa mauzo ya shamba la mzee wake akapotea huko kwa malaya,baadae wakaachana.
Wapili huyu nae jamaa yake ni kitombiii sana yaani kitaa kavuruga sana, wametengana kwa mdaa ila yule dada still bado anampenda.
Japo majority ya dada zangu wakishapata hela ligi,mashindano na viburi ndani ya nyumba zinaanza. Ila hawa wadada wote wawili niliwafuatilia nikaja kujua wametoka kwenye familia za dini sana,hela hazija wafanya wawe viburi mbele ya waume zao na hawana upuuzi huu wa 50/50 na usawa wa kijinsia.
Kuna kipindi mwanangu mmoja alitaka kuniunga kwa demu wa UN kwani alikuwa anatafuta mme,nikamwambia nina mtu na kipindi hiko niliamua kabisa kutuliza mawazo.Demu mwenyewe nae akaja kuzingua baada ya kurudiana na ex-wake,yaani bora yule wa UN ningemweka sub.