BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
- Thread starter
- #41
Hilo nimeweka kama kionjo tu.Wanawake wafukuzwe kazi sababu ya kubaki nyumbani kuwapikia na kuwafulia, kwani wao ni Watumwa wenu???
Matamanio yangu ni kuona watu wanakuwa wakweli katika ndoa. Asitokee mmoja wa kumlaghai au kumtumia mwenzake kwa faida yake.
Kama tunakunjua makucha basi tuyakunjue ingali wote ni makapuku. Turaruane kihalali tukiwa tunatambua tunachokifanya.
Kumrarua mwenzio na makucha kwa kuwa tu una mshahara hilo si jambo la haki.
Kama una makucha yakunjue hata kama hauna mshahara, ili tukianza kuraruana turaruane kweli kweli katika kweli na haki.