Wanawake wananyenyekea kwa sababu hawana pesa: Wanafuata chakula

Mfano hai kabisa mama yako kafuata chakula kwa baba yako au unaropoka tu mkuu muda mwingine waheshimuni hawa wanawake japo wachache wanazingua ila sio dili sana kuwananga kila saa kama vile jinsia me imekamilika wakati wapo wanaume wangese tu
Huna akili, penye ukweli hapachagui awe Mama Mzazi, Shangazi, Mke, Dada, Bibi, wala Baba Mzazi, Mjomba, Mume, Kaka, Babu n k ilimradi ujumbe unahusu jinsi Ke au Me basi wote hao ni Wahusika.

Una uhakika gani Mama/Baba yako Mzazi hakuwa na upumbavu kwa mwenzi wa ndoa au unadhani hao ni Malaika hawakosei?
 
Kanuni ipi ya asili niliyokana
Kwamba kabla mtu hajatenda huanza kuwaza au kufanya imagination wengine huita ndoto.

Jambo lolote kabla halijatokea huanza fikra kabala ya kitendo.

Haya unayo yaandika hapa ndio yamejazwa kwenye subconscious mind yako.

Ni kama kwenye injili iliposemwa Dhambi sio kiingiacho bali kitokacho.
 
Ndoa ni mkataba wa kitapeli kwa mwanaume na uthibitisho upo hapa hapa kwenye huu uzi. Wanaume wanaipinga huku wanawake wanaitetea, mpaka hapo unajua ni upande gani unaonufaika na ndoa.
 
ONCE AGAIN, BURN THIS INTO YOUR BRAIN:
Men provided resources and protection.
Women provided sex and (if wanted) children.
 
Ni kwa sababu jamii imeshawaaminisha wanawake kwamba ndoa ni muhimu zaidi kwao ndio maana wanaitetea na ndicho wanaume wanachotaka, lakini kiuhalisia ndoa ni muhimu zaidi kwa mwanaume kuliko kwa mwanamke hata mkibisha huo ndio ukweli hili tunaliona pale jinsia zote zinapofika uzeeni, siku jamii ikiacha kumnyooshea kidole mwanamke asiyeolewa na wanawake wakaacha kupapatikia ndoa ndio siku wanaume watakapojua mbivu na mbichi
Binadamu anahiitaji Ndoa zaidi akiwa na miaka 20 na 40 haijalishi jinsi na jinsia.

Ukweli Mwanamke mzee atahiitaji ndoa zaidi kuliko unavyodhani.

Kwa nini wakifikia umri huo, uolewa na yoyote ili mradi anapumua
 
Mwanamke mwenye kazi, mshahara mnono, nyumba na gari, hawezi kumuheshimu mumewe vile inavopaswa.

Ndoa ni kama taasisi ya kitapeli ambayo mwanamke anaitumia kukidhi mahitaji yake. Kinyume na hapo, mwanamke hana haja na ndoa.

Kuna dada mmoja ni mwanasheria yupo Arusha, hawezi japo kumpikia chai mumewe. Muda wote yuko kazini, na akirudi hana muda.

Anajua mumewe ni kama kikaragosi ambacho hakimtishi kwa lolote.

Kwa mantiki hiyo, nihitimishe kwa kusema kwamba, unyenyekevu wa mwanamke katika ndoa ni danganya toto ili aweze kuendelea kupata mahitaji yake ikiwemo chakula na mavazi.

Akifanikiwa kuvipata hivyo bila usaidizi wako, atakunjua makucha yake rasmi akucharange kama shumileta.

Unyenyekevu ni utapeli. Hadaa ya kuchuma mali.

Mwanamke mwenye fedha ni mwanaume mwenzio. Ukimkoromea anakucharaza bakora.

MY TAKE: Wanawake wafukuzwe kazi.
Nakazia
 
Kumbe ukiondoa akili za uchawa wa maiti Huwa unakuwa mtu 😂😂
 
Ni kwa sababu jamii imeshawaaminisha wanawake kwamba ndoa ni muhimu zaidi kwao ndio maana wanaitetea na ndicho wanaume wanachotaka, lakini kiuhalisia ndoa ni muhimu zaidi kwa mwanaume kuliko kwa mwanamke hata mkibisha huo ndio ukweli hili tunaliona pale jinsia zote zinapofika uzeeni, siku jamii ikiacha kumnyooshea kidole mwanamke asiyeolewa na wanawake wakaacha kupapatikia ndoa ndio siku wanaume watakapojua mbivu na mbichi
Unapenda sana ligi wewe. Sasa wanaume wenyewe wanaikandia ndoa hata waliooa tunakesha nao bar ukiwauliza vipi wanasema home makelele halafu wewe upo hapa unasema ndoa ina umuhimu kwa wanaume, yaani wanaume wenyewe hawaitaki ila wewe ambae sio mwanaume unasema ina umuhimu kwao, hivi ni mzima kweli wewe?
 
Huna akili, penye ukweli hapachagui awe Mama Mzazi, Shangazi, Mke, Dada, Bibi, wala Baba Mzazi, Mjomba, Mume, Kaka, Babu n k ilimradi ujumbe unahusu jinsi Ke au Me basi wote hao ni Wahusika.

Una uhakika gani Mama/Baba yako Mzazi hakuwa na upumbavu kwa mwenzi wa ndoa au unadhani hao ni Malaika hawakosei?
Usitoke kwenye point zingatia sana 😂😂😂
 
Mwanamke mwenye kazi, mshahara mnono, nyumba na gari, hawezi kumuheshimu mumewe vile inavopaswa.

Ndoa ni kama taasisi ya kitapeli ambayo mwanamke anaitumia kukidhi mahitaji yake. Kinyume na hapo, mwanamke hana haja na ndoa.

Kuna dada mmoja ni mwanasheria yupo Arusha, hawezi japo kumpikia chai mumewe. Muda wote yuko kazini, na akirudi hana muda.

Anajua mumewe ni kama kikaragosi ambacho hakimtishi kwa lolote.

Kwa mantiki hiyo, nihitimishe kwa kusema kwamba, unyenyekevu wa mwanamke katika ndoa ni danganya toto ili aweze kuendelea kupata mahitaji yake ikiwemo chakula na mavazi.

Akifanikiwa kuvipata hivyo bila usaidizi wako, atakunjua makucha yake rasmi akucharange kama shumileta.

Unyenyekevu ni utapeli. Hadaa ya kuchuma mali.

Mwanamke mwenye fedha ni mwanaume mwenzio. Ukimkoromea anakucharaza bakora.

MY TAKE: Wanawake wafukuzwe kazi.
Kila sentensi niliyosoma nakubaliana nawe 100%

Ukweli mchungu [emoji37]
 
Nafikiri mkaka kijana awe na mitazamo chanya juu ya ndoa

Aoe kwa sababu anampenda fulani
Aoe kwa sababu anahitaji kujenga familia na fulani provided that mtashirikiana sio kwenye tendo tu hata basic chores

Sio uoe kwasababu unataka mtu akuheshimu, akunyenyekee kwani we MUNGU?

Sio uoe ufuliwe, upikiwe kwani yeye.ni mtumwa provided that na yeye ana damu sio roboti kwamba anaeza mtumikisha kwa kila kitu

Nafikiri wazazi sasa wawaeleweshe hawa wanawake vijana wajitambue aisee 🙌🙌
Wadada wa kizazi cha Instagram hampendi kupikia waume zenu, hata kama hamjaajiriwa masaa 24 mnashinda nyumbani Palina
 
Mwanamke mwenye kazi, mshahara mnono, nyumba na gari, hawezi kumuheshimu mumewe vile inavopaswa.

Ndoa ni kama taasisi ya kitapeli ambayo mwanamke anaitumia kukidhi mahitaji yake. Kinyume na hapo, mwanamke hana haja na ndoa.

Kuna dada mmoja ni mwanasheria yupo Arusha, hawezi japo kumpikia chai mumewe. Muda wote yuko kazini, na akirudi hana muda.

Anajua mumewe ni kama kikaragosi ambacho hakimtishi kwa lolote.

Kwa mantiki hiyo, nihitimishe kwa kusema kwamba, unyenyekevu wa mwanamke katika ndoa ni danganya toto ili aweze kuendelea kupata mahitaji yake ikiwemo chakula na mavazi.

Akifanikiwa kuvipata hivyo bila usaidizi wako, atakunjua makucha yake rasmi akucharange kama shumileta.

Unyenyekevu ni utapeli. Hadaa ya kuchuma mali.

Mwanamke mwenye fedha ni mwanaume mwenzio. Ukimkoromea anakucharaza bakora.

MY TAKE: Wanawake wafukuzwe kazi.
NAKAZIA 🤙
 
Anyway...............
Ndoa ni mojawapo wa taasisi mbili zilozo anzia Eden, ya pili ni sabato
Hivi vitu viwili vinapigwa vita sana na shetani mwenyewe. na kuna kundi kubwa limekuwa recruited kushambulia hizi tasisi . utaratibu upo namna mume na mke wanaweza kuhusiana bila mgongano. kila mmoja ana majukumu yake
ni sawa na magari yanapokuwa barabarani. magari yanayoenda yana upande wake na yanayorudi yana upandea wake.
Ukilazimisha kuendesha gari upande usio wako utaleta taharuki na ajali
wanaume tubaki na majukumu yetu na wanawake wabaki na ya kwao
Baada ya Hawa kushawishiwa na kula tunda na kumlisha mumewe Adamu, Hawa aliambiwa atazaaa kwa uchungu na mumewe atamtawala.
Uhusiano wa mke na mume ni uhusiano wa mtawala na mtawaliwa. naomba ubaki hivyo

Mwa 3:16 SUV​

Akamwambia mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa utungu utazaa watoto; na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala.

Waefeso 5:22-33​

Wake wawatii waume zao kama kumtii Bwana. Maana mume anayo mamlaka juu ya mkewe, kama vile Kristo alivyo na mamlaka juu ya kanisa; naye Kristo mwenyewe hulikomboa kanisa, mwili wake. Kama vile kanisa linavyomtii Kristo, vivyo hivyo, wake wawatii waume zao katika mambo yote. Nanyi waume, wapendeni wake zenu kama Kristo alivyolipenda kanisa, akajitoa mwenyewe sadaka kwa ajili yake. Alifanya hivyo ili kwa neno lake, aliweke wakfu kwa Mungu, baada ya kulifanya safi kwa kuliosha katika maji, kusudi ajipatie kanisa lililo takatifu na safi kabisa, kanisa lisilo na doa, kasoro au chochote cha namna hiyo. Basi, waume wanapaswa kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. ( Hakuna mtu yeyote auchukiaye mwili wake; badala ya kuuchukia, huulisha na kuuvika. Ndivyo naye Kristo anavyolitunza kanisa, maana sisi ni viungo vya mwili wake). “Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili mmoja.” Kuna ukweli uliofichika katika maneno haya, nami naona kwamba yamhusu Kristo na kanisa lake. Lakini yanawahusu nyinyi pia: Kila mume lazima ampende mkewe kama nafsi yake mwenyewe, naye mke anapaswa kumstahi mumewe.
 
Back
Top Bottom