Wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile ni mashoga waliosahaulika

Wanajua kushawishi hatari. Mimi niliruka mitego ya mashoga wawili. Tuendelee kumuomba Mungu atusaidie
Mi moja nilikutana nalo badoo lipo sinza,moja lipo kongowe sjui huko,nilikutana nalo fb,likaanza sjui unajua kaka we ni handsome kinoma,nikamjibu nakubali sana mzee,akasema pande zp,nikamtajia,akaongeza utakuja lini pande za kongowe,nikamjibu kama nikipata mishe ntatimba tu,akanambia njoo basi ..afu akantumia video ya jamaa mmoja homo anafanywa mambo ya hovyo ..hata skusema kitu nikalima block.
 
Mkuu umemaliza kila kitu,kudos.
 
Ushawishi gani? Acheni uongo wenu, tatizo la Bongo wamejaa bisexuals na sio straight.

Hakuna ushawishi wowote, ni nyie wenyewe mnatakaa, ila unafiki unawasumbua.
Haya ni mashenzi tuuu,hakuna mwanaume kamili au straight anaweza kushawishika kumla gay au demu akakubali kuwekwa mafinger na tomboy,ukiona limeshawishika ujue lilishawahi kutamani ndo wakati umewadia sasa linawaza likubali au likatae
 
Haya ni mashenzi tuuu,hakuna mwanaume kamili au straight anaweza kushawishika kumla gay au demu akakubali kuwekwa mafinger na tomboy,ukiona limeshawishika ujue lilishawahi kutamani ndo wakati umewadia sasa linawaza likubali au likatae
Bora mseme nyie, nikisema mie naonakena mbayaa
 
Wanawake ndo hupata tabu wakati wa kujifungua, naskia huishia kujamba jamba tu badala ya kupump mtoto atoke, wengi huchafua mashuka kwa nnya
Hii ni misinformation.... hizo ni infection sawa tu na fistula hazina uhusiano na anal sex.
Uongo uko wapi hapo mkuu.
Mwanaume akipigwa pipe anakua na pigo za kike, analegea(kuharibika nje)
Sio kweli, wapo wengi tu ukiambiwa ni shoga unakataa maana muonekano haufanani. Huko kulegea au kuwa feminine ni hulka na hormone zaidi kuliko kuingiliwa.
unaingiza uchafu kule ndichi na pia mtu anapoteza uwezo wa kusimamisha vizuri.
Kushindwa kusimamisha ni saikolojia zaidi maana anakua anavutiwa zaidi na wanaume kuliko wanawake na sio sababu ya kuingiliwa kinyume. Ndio maana kuna watu wanajiita versatile anaingiliwa na kuingilia sasa angewezaje kuingilia wenzake ilihali ameshaingiliwa sana? Or hujawahi kusikia mtu ana watoto kabisa ila anageuzwa?

Tutofautishe hisia/saikolojia na tendo la ngono?
 
Umeandika upotoshaji mkubwa sana mkuu yaani mkubwa mno.

Kwa maana hiyo kuingilwa nyuma hakuna madhara??

Yote hapo juu umefanya kuyapindisha tu ila yote ni ya kweli kabisa.
 
Tuwekee na vifungu vya maandiko basi ili nasisi tuwe na nguvu yakuhubiri neno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…