Wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile ni mashoga waliosahaulika

Uongo mtupuu.
Realy sio utani naweza weka conversation ya mmoja wapo uyo ni mmoja tu kati ya wengi achana na ninaokaa nao mtaa mmoja, sasa kuna mmoja anajuwa sipendelei so ananiunganishia mademu ambao ni marafiki zake
 

Attachments

  • Screenshot_20240203-154537_Lite.jpg
    73.6 KB · Views: 33
  • Screenshot_20240203-154631_Lite.jpg
    68.5 KB · Views: 37
Daah aisee yaani kua shoga hakumfanyi mwanaume kua hanithi??

Hiki nitalikataa mpaka kesho wakuu, na sio kua akiingiliwa mara moja au 2 basi tayari anapoteza uwezo huo nope no ile mara kwa mara.

Unaposema ni ishu ya pyschology zaidi kwani kumesababishwa na nini??
Mwanaume anaposhindwa kusimamisha kwa mkewe kwasababu hiyo ya psychology utasema huyo ana nguvu za kiume na hasimamishi??

Ushoga hauchukiwi bure bure tu mzee, ni kitu kibaya sana sana kina madhara mno.
Kule nyuma hakuna utelezi, mnaweka utelezi bandia, ukiisha huo bandia mnapeana vidonda tu.

Umeshahi kuona mtu akitolewa uchafu kwenye uume?? Aisee ni maumivu sana, sababu kubwa ni kula tope uchafu unabakia kwenye mrija wa uume, mkojo hautoki hadi utobolewe.

Usitetee huu ujinga man, tusiige wazungu wao wana means zao za kuendana na ushoga.
 
Daah nyie watu mnaujua ushoga kijuu juu sana.

Versatile ni anapigwa na kupiga pipe.
Na hawa versatile mwanzo huwa wanaingilia wenzao tu ila inafika time anatamani kuingiliwa, ndio jinsi hao hupatikana.
Na as time goes on hao unaowaita versatile hubadilika tena na kua machoko kabisa.

Ule uchafu wa manii unaoingia huwa unaenda wapi??
Kuna utaalamu wowote wa kusafisha kinyeo ili uingiliwe??
Je hapa nchini kuna mafuta maalumu ya hiyo minyanduano haramu??

Vipi na condom?? Mnatumia hizihizi dume na zana za bure?? Ni salama? Zimetengenezwa kwa matumizi hayo??

Mwisho kabisa ungependa mwanao awe shoga??
 
Acha kuvunja ndoa za watu
 
Ule uchafu wa manii unaoingia huwa unaenda wapi??
Unatoka, mbona kuna vinyesi vinatoka tumboni na tumbo haliozi ndio sembuse manii? Huwa zinatoka eventually akienda chooni.

Mbona mwanamke anakojolewa ndani umewahi jiuliza zile shahawa zote zinaenda wapi? Mind you only one sperm ndio hutunga mimba.
Versatile ni anapigwa na kupiga pipe.
Na hawa versatile mwanzo huwa wanaingilia wenzao tu ila inafika time anatamani kuingiliwa, ndio jinsi hao hupatikana.
Sio kweli versatile huwa versatile mwanzo mwisho.... ni sawa na kusema mwanamke anayeingiliwa kinyume basi hawezi tena ingiliwa njia ya kawaida? Are you serious?

Verse is verse anapenda kuingilia lakini anapenda kuingiliwa
Vipi na condom?? Mnatumia hizihizi dume na zana za bure?? Ni salama? Zimetengenezwa kwa matumizi hayo??
Condom zipo zenye lube ya kutosha
Mwisho kabisa ungependa mwanao awe shoga??
Hapana sitopenda ila akizaliwa hivyo si unamuongezea tu testosterone anakua more attracted to women
 
Realy sio utani naweza weka conversation ya mmoja wapo uyo ni mmoja tu kati ya wengi achana na ninaokaa nao mtaa mmoja, sasa kuna mmoja anajuwa sipendelei so ananiunganishia mademu ambao ni marafiki zake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ungeweka convo had mwshoniii, mtu unampa no ako, mnatumiana vid za kufirana, mnawekeana emoj za kopa na apple,

Huu unafiki, kiufupiii ni ulimla na huwa unakula gays ila unajistukia, ungekua hutak hata convo nae usingefanya, hizo text zako unaficha nn. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wee ndio huujui ushoga vizuri, afu nilikua nakuona uko na upeo mkubwa kuhusu [emoji304], kumbe sivyoo,

Kiifupi ni huna unachojua. Hayo madhara kwa mfiraji hata akifira wanawake anapata km kawaida. Au una lipi la kueleza?
 

Huyu jamaa mnafiki kinyama read between the lines anakula mashoga na yeye analiwa full stop.
 
Hahaha na uwezi amini sina hata hisia na gays ya ni unafiki pro max nione tu walivyo just a research, yeah alikuwa anatuma but hata hisia haziji kuwatafuna hawa uongo siwezi Mungu azidi kutia ugumu ktk hili
 
Kinachomfanya mwanaume kuwa hanithi ni shahawa za mwanaume mwenzie either amwagiwe au azichezee ziingie mwilini mwake,

Ushawah jiuliza kwanini wanaokula mashoga mwisho wa siku nao wanaishia kuliwa au kuwa ma hanithi? Unamtindua shoga nae uku anajifikia mshindo kwa kujichua apo anakuwa na shahawa zake mkononi anakuja anashika uume wa mwenzie

Sperm zimeumbwa special kwa ajili ya kiumbe cha kike zikienda kwa mwingine zinambadili, hujawahi chunguza hata ukipeez sperm zako unazichukia utatafuta maji yalipo au kitambaa ujifute ndo uwe comfortable
 

Ushoga mbaya ila umeongea ki layman,kumbuka hata k inamaliza utelezi na kuchubuka pia.

Njia ya mkojo haiwezi ziba kisa sex,unless mtu anauvimbe kwenye njia ya mkojo.

Kuna mshoga wanafamilia na wana watoto still wanafukuliwa tope unalizungumziaje hili. ?
 
We acha tu mi ni wengi na ninakwepa mitego ila kuna siku sijui pepo gani liniingia linanishawish nikamle mmoja, akili ikanambia sa ka unatak kula mmoja si bora uwatindue wote roho ikaona hii laana nzito nikagairi
Bora kabisa hukufanya huo ufirauni
 
Aliewaambia ukiwa shoga papo hapo husimamishi ni nani??

Yaani utetezi wenu wengi ni huo kua ooh yule ni shoga na ana watoto.!!

Ameuanza lini?? Amefikia hatua ya kina james delicious?? Zile ndo stage mbaya za ushoga, watu wa vile wakiwa na watoto ndo uwajengee hoja.

Na pia njia ya haja kubwa ni chafu, wanaofanya bila kinga wana hatari zaidi ule uchafu ukiingia kwenye uume.

Y
 
Jamaa yangu watu wanabisha aisee.

Na zile ndo zinawafanya walegee wawe kama milenda..

Kuna mdau nimemuuliza zile sperm kule huwa zinaenda wapi, hana jibu.
 
Wee ndio huujui ushoga vizuri, afu nilikua nakuona uko na upeo mkubwa kuhusu [emoji304], kumbe sivyoo,

Kiifupi ni huna unachojua. Hayo madhara kwa mfiraji hata akifira wanawake anapata km kawaida. Au una lipi la kueleza?
Huo upeo mkubwa au mdogo wewe unaupimaje??

Hapo nimeelezea upande mmoja wa me.

Ukiwa mla tako kwa ke, una hati hati ya kula me na kua punga pia.

Sio vizuri kufanya mapenz kinyume na maumbile.
 
Mzee nachelea kusema huna ujuacho kuhusu hizo mbanga unatumia utashi wako tu.
Kama unawajua hao verse kadhaa waulize wanapenda nini kati ya kupigwa na kupiga, ndio utajua kwann wengi huangukia kua mapunga pro max.

kingine ni kua shahawa si kwa ajili ya njia ya haja kubwa, ukeni ndo kumeumbiwa hivyo.
Ule ni uchafu ukiingia njia siyo huwa unaoza, ndio maana mapunga matajiri huwa wanaenda kusafishwa mahospitalini, madaktari wanajua sana hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…