Wanawake wanaopenda kusuguliwa kucha wengi wao hufanya mapenzi na wasugua kucha

Kwakweli nikipita bila ku comment hapa ntakuwa sijakutendea haki,endelea hivyohivyo mama big up kwa sana
Sawa ila usisahau kumwambia mkeo aachane na hiyo tabia maana ipo siku ataomba kusuguliwa na mgongo kbsa
 
Sawa ila usisahau kumwambia mkeo aachane na hiyo tabia maana ipo siku ataomba kusuguliwa na mgongo kbsa
Hahahahahah bahati nzuri au mbaya bado sijafanikiwa kumpata wa kunipenda ila nikimpata nitam treat the way umeniambia
 
Wenye wake zao watakukunja
 
Hao watakuwa wanawake wasiojishughulisha.. kutwa nzima amaeshinda nyumbani bila kazi lazima watu wajinome tuuuu....!!

"If a farmer fills his barn with grain, he gets mice. If he leaves it empty, he gets actors."
 
Ni mambo ya ajabu kabisa. Haya mambo ya kusingwa,kusafishwa kucha scrub etc
na opposite gender ni miongoni mwa vichocheo vya uzinifu.
Hehe bora iendelee kuwa opposite gender mkuu, ikibadilika wimbi la mashoga na wasagaji litazidi.
 
Ivi kwa nini wanawake hawafanyi hii kazi ya kuwasugua miguu wanawake wenzao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…