😀😀😀😀😀😀😀😀 jamaa yangu una vitukoMwanamke mkilingana, hata stories zenu zinafanana. Marafiki wanakuwa agemates, mnakumbushiana habari za Amina Chifupa alipokuwa Clouds FM au Akina Daz Baba wakati anasoma Azania. Sasa wewe ulizaliwa 1985 unaona dada wa 2001 utapiga naye story gani wakati wa usiku??