Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi mwenyewe nashangaa watu wanaoona ni muhimu kuoa agemates.Watu tunaoa wanawake tumewazidi nusu ya umri tulionao au robo tatu na hao wanawake wanakua haraka na kuzeeka sawa na waume zao tu. Unakuta jibaba lina miaka arobaini linaoa mdada wa miaka ishirini na maisha yanaenda freshi tu. Habari za kufa mapema si za kufikiria kwani hakuna mtu ajuaye lini atakufa
Jenga kwanza ndio uoe.Maisha ni kuzingatia upevu wa akili,mfano mkiwa aged 30 wote wawili mtawaza kuanza ujenzi wa nyumba ya familia yenu wakati ukiwa na wa miaka 20 yeye atakuwa bado anawaza kuringishiana models za iPhones na kubadilisha mavazi huku wewe umri unaenda nguvu zikipungua akija kufika 30 wewe una 40 hapo ameshapevuka akili anaanza kuwaza ujenzi hapo mna watoto watatu wanasoma unadhani kuna kitu utafanya tena?
Mwanamke akila vizuri akilala pazuri hazeeki shida mnawatia stress kuchepuka lishe yenyewe hamtoi inavyotakiwa mnazeekea nyumba za kupanga hizo changamoto hataacha kuwa bibi akifika 43.
Mishangazi au sio bloangu??Kwahiyo issue hapo mke wa Fred havutii?
Je, kwanini wanaume wengi hufa mapema kuliko wake zao ?
Mke anaishi miaka 20 mpaka 30 baada ya mume kufa.
Ungeshauri tuoe wanawake waliotuzidi angalau miaka 10 ili tumalize nao mwendo
Yes mishangazi ndo tutazikwa nayo.Mishangazi au sio bloangu??
Oa mwanamke unayeweza kuwa comfortable naye. Oa mwanamke anayeweza kukupa amani ya moyo wako mpaka ndani ya nyumba. Mtu kama mimi sipendi mwanamke anayenipigia kelele na kunifokea. Ninaweza kumchoma kisu hata cha shingoni. Sasa nikipata mwenye umri kama wangu wa miaka 29 lakini ananipa amani ya moyoni, hanifokei, kwanini nisimuoe??
Siwezi oa anayelingana na mimi never, au mwenye mtoto. Anachoka mapema kabla yangu, K inaishiwa ladha halafu mimi wakati huo bado nina migenye, nianze kuvitolea macho vibinti vibichi vibichi.I met my girl tukiwa both at 20yrs old hapo ndio tumetoka kumaliza form 6..I married her tukiwa 26yrs miaka miaka 2 baada ya kumaliza chuo..Hatukua na kaz wote but tulikua tunaendana kwenye mambo mengi sanaa.Mnakaa chin mnapanga plan zinaenda cz mnayatazama maisha katika same perspective..Mimi na yeye tuko 34 with 4 kids first born akiwa already secondary....oa mshkaji wako..sio mambo ya kuoa mtu sawa na mwanao au mdogo ako wa mwisho huko ndio maana hata mawifi zake wanapata guts za kumtingisha 😂.
Anyway ,sio kila kina workout kwa mtu flan bas lazima ki apply kwa mwingine pia...Kila mtu afanye anachotaka
Hakika kabisa mzee mwenzangu,wanatupa raha kweli ya dunia hao watuYes mishangazi ndo tutazikwa nayo.
Hawa vibinti utakufa vitaendelea kuishi hata miaka 40 mbele
😀😀Akina kirikuu😀😀Unafaa kabisa, au utakuwa unananisimulia mambo ya vitoto vitoto ? 😂
😂😂😂Mimi huyo nioe mtoto..
Ova mai dedi bode(manara's voice) 🤣
SAwa..kama unafikiri huko kwenye ndoa ni nyege tuu ndio zinawindwa bas kaa kwa kutulia mpaka uoe..uone jinsi gan unaweza lala na mwanamke kitanda kimoja na usiwe hata na wazo la ngono.Siwezi oa anayelingana na mimi never, au mwenye mtoto. Anachoka mapema kabla yangu, K inaishiwa ladha halafu mimi wakati huo bado nina migenye, nianze kuvitolea macho vibinti vibichi vibichi.
Miaka 30 ndio saizi yake na ndio wanapatikana. Wanaomkaribia umri walishaolewa au wana watoto watatu tayari. 42 kwa 30 wanaendana sana na wataenjoy lifeTamaa
Tamaa tu, ana miaka 42 anavutiwa na mabinti wa mike 30, kwa hiyo kama alioa na miaka 27 anapaswa aoe mtoto wa miaka 17.
Umri mzuri wa kupishana ni kati ya miaka 2 hadi mitano, reasonable, cha Muhimu, ni kuacha tu tamaa.
Hata babu wa miaka 76 anavutiwa na binti wa miaka 25, issue ni nidhamu na kujua kwamba mda umekutupa mkono.
Ukitaka kuamini ulichokiandika hapa hakiwezekani angalia ktk ndugu zako na jamaa zako wangapi waliweza kutekeleza hicho ulichosema hapo ndiyo wakaoa.Jenga kwanza ndio uoe.
Utamchoma kisu shingoni???Oa mwanamke unayeweza kuwa comfortable naye. Oa mwanamke anayeweza kukupa amani ya moyo wako mpaka ndani ya nyumba. Mtu kama mimi sipendi mwanamke anayenipigia kelele na kunifokea. Ninaweza kumchoma kisu hata cha shingoni. Sasa nikipata mwenye umri kama wangu wa miaka 29 lakini ananipa amani ya moyoni, hanifokei, kwanini nisimuoe??
Miaka 30 ndio saizi yake na ndio wanapatikana. Wanaomkaribia umri walishaolewa au wana watoto watatu tayari. 42 kwa 30 wanaendana sana na wataenjoy life