Wanawake wanawahi kuchoka, Mwanaume unatoa wapi ujasiri wa kuoa mwanamke mnayelingana umri?

Wanawake wanawahi kuchoka, Mwanaume unatoa wapi ujasiri wa kuoa mwanamke mnayelingana umri?

Are you comfortable with her?? Hilo ndio swali la msingi.
tunaoa wanawake wadogo kwa ajili ya kupata uzao tu, kama ataenda kwa vijana wenye nguvu za kumnyandua sawa tu hakuna jinsi ila mzee nipate joto lake wakati nikiwa hai. Kikubwa heshima ya mume iwepo. Hawa wazee wenzetu nao huchoka na kuishiwa hamu ya kufanya penzi na hawahemki tena wakati mzee bado unataka mhemkaji
 
No matter she is too young to me, regardless comfortable, kwa umri huo mkubwa unawezaje kuoa mwanamke ambaye naye ana umri mkubwa hata uzazi umefika mwisho hazai tena nawe unataka upate watoto angalau mmoja wa kuhitimisha uzee?. Kuoa mzee mwenzako maana yake hutaki kupata mtoto
Wanawake vijana wote wanazaa? Kwanini uzae uzeeni na sio ujanani? Nani atalea watoto wako?
 
Halafu wanaume kwanini mnajifanyaga hamzeeki? Hamzeeki wapi? Tuwaambie au tuwaache! [emoji38]

Binafsi age 2-5, huko kwingine siwezi, aanze kunipigia story za Y2K wakati mi Y2K sikuwepo! [emoji23] wacha nipambane na kijana wangu, anisuguane mpaka itoke cheche!

Siku akianza kuchoka na mimi naitafuta Menopause.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] angalia mke wa Rais wa French
 
Tamaa


Tamaa tu, ana miaka 42 anavutiwa na mabinti wa mike 30, kwa hiyo kama alioa na miaka 27 anapaswa aoe mtoto wa miaka 17.

Umri mzuri wa kupishana ni kati ya miaka 2 hadi mitano, reasonable, cha Muhimu, ni kuacha tu tamaa.

Hata babu wa miaka 76 anavutiwa na binti wa miaka 25, issue ni nidhamu na kujua kwamba mda umekutupa mkono.
Tamaa inaingiaje hapo mkuu binti miaka 18 huyo kashapevuka anaolewa
 
Maisha ni kuzingatia upevu wa akili,mfano mkiwa aged 30 wote wawili mtawaza kuanza ujenzi wa nyumba ya familia yenu wakati ukiwa na wa miaka 20 yeye atakuwa bado anawaza kuringishiana models za iPhones na kubadilisha mavazi huku wewe umri unaenda nguvu zikipungua akija kufika 30 wewe una 40 hapo ameshapevuka akili anaanza kuwaza ujenzi hapo mna watoto watatu wanasoma unadhani kuna kitu utafanya tena?

Mwanamke akila vizuri akilala pazuri hazeeki shida mnawatia stress kuchepuka lishe yenyewe hamtoi inavyotakiwa mnazeekea nyumba za kupanga hizo changamoto hataacha kuwa bibi akifika 43.
Ukihitaji wizara ..ntakutafuta
 
Ukiwa na miaka 45 na mkeo awe na 30, atakupeleka puta vibaya sana! Yeye wakati huo ndio ujana umekolea wakati wewe umeshaanza kujichokea na umeshatulia.
kuchoka ukiwa 45 ?? Labda uwe umefulia tu..lkn huo umri kama umejipanga vizuri ndio umri wa kuenjoy mautamu na vacation za hapa na pale
 
Back
Top Bottom